Nyoka Koboko au Black Mamba

Nyoka Koboko au Black Mamba

Imole

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2021
Posts
1,546
Reaction score
4,325
Habari zenu wakuu leo katika pitapita zangu huko nkakutana na hii picha ya huyu jamaa inasemekana kamuua huyo nyoka anyeitwa koboko au Black mamba.

Kilichonishangaza ni maoni ya watu kua huyo nyoka ni hatari sana na wadau walikua wanadai huyo nyoka hawezi kuuliwa na mtu mmoja himself, wengine wanadai huyo nyoka ni zaidi ya simba na nasikia wanapatikana kwa wingi huko Tabora, Kigoma , kwa wafipa huko na sehemu nyingine zinazopakana na hizo.

So ndugu zangu kwa mwenye
  • Info zozote juu ya huyo mwamba
  • Mwenye ushuhuda juu ya huyo kiumbe tunaomba tupeane uzoefu.
  • Pia tusisahau na precautions za kuchukua endapo utakutana nae au kama utapata effects zozote kwake.

NAWASILISHA.

FB_IMG_1623602724743.jpg
 
Sawa huyu nyoka ni mkali kweli na sumu yake inaua haraka mno hasa akikomaa huwa ni mkorofi na jeuri Fulani hivi, Ila kwa watoto wa kisukuma na waliozea maeneo ya Chaka huwa Hana ujanja huwa wanakata vifimbo vifupi hata hakatizi dakika kadhaa keshauliwa Ila kwa umakini mkubwa ukiloba hesabu tu umekwisha.
 
duuh hatari sana
 
Tuliokulia Chaka tunaiita machine, ukisikia mashine hiyo looh Anza kusepa
mh... mkuuu Maisha haya mungu tu ndo anatulinda aisee maana pengine usimsikie then ukakutana nae hauko equiped sijui inakuaj hapo
 
Back
Top Bottom