Jiulize je, hiyo ndiyo mara ya kwanza nyoka kuingia ndani? Kama huna jibu kamili ondoa hofu endelea na maisha yako hapo nyumbani, huyo nyoka atatoka bila madhara yoyote.
Nyoka huingia na kutoka majumbani kwetu mara nyingi bila ss kujua.
Nyoka tofauti na chetu sisi siyo kitoweo chao anaingia ndani kufuata panya akikamata anarudi zake vichakani.
Nyoka awezi kuishi pamoja na binadamu nyumba moja ondoa hofu atatoka mwenyewe.
Auwezi hata kumkanyaga kwa bahati mbaya ndani kwako kwasababu anakuogopa kwa kututumia hisia zake kali anajificha anapohisi vishindo vyenu. Kukiwa na utilivu atatoka mwenyewe.
Naishi porini pembezoni mwa mto Sijawahi ogopa nyoka pia siui nyoka namfukuza tu.
Nyoka ni fundi sana kwenye maswala ya kujificha,kama una hela nunua dawa kama Rungu,funga madirisha yote,acha mlango mmoja wazi ambao unajua ataweza kutoka,pulizia humo ndani kote mpaka iishe,inawezekana kabla hata haijaisha akakurupuka,ila hakikisha unakuwa na gongo la kumbamiza akitoka kutaka kujihami...
Umenikumbusha nyoka kuzama pangoni,je nyumba yako ni pango?Itakuwa inamakororo kibao,ndio maana hujamuona,ita kampuni za famigesheni na wakishapuliza dawa panga vizuri nyumba visivyohusika weka stoo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.