Nyoka kaingia ndani halafu kapotea

Nyoka kaingia ndani halafu kapotea

Choma pilipili kichaa ndani,mwaga chumvi milangoni pote mwaga diesel kidogo Kila chumba
 
Nunua Rungu kopo kubwa pulizia kila mahala. Rungu ni msaada sana ama mwaga mafuta ya taa. Chukua tahadhali.
 
Msaada wakuu nyoka kaingia ndani kapotelea humo, tumetafuta sana hola
sasa kuingia ndani nashindwa naombeni msaada wenu nifanyaje
Kwa haraka hakaharaka tafta tairi choma funga milango pia pata mafuta ya taa nyunyuzia sehem ulizo na mashaka napo then baada ya dk kadhaa utupe mrejesho
 
Msaada wakuu nyoka kaingia ndani kapotelea humo, tumetafuta sana hola
sasa kuingia ndani nashindwa naombeni msaada wenu nifanyaje
Unashindwaje kuingia ndani wakati umedai umemtafuta ukamkosa!?..toa godoro umcheki kwenye Chaga,wanapenda Sana Hilo pozi...Kama hakuna ceiling board/gypsum basi yupo kwenye paa...ni WA rangi gani!?
 
Kwa haraka hakaharaka tafta tairi choma funga milango pia pata mafuta ya taa nyunyuzia sehem ulizo na mashaka napo then baada ya dk kadhaa utupe mrejesho
Tairi hapana atachoma nyumba pia lina moshi mzito unaweza haribu paa au kuta.
 
Back
Top Bottom