Nyoka Baada ya kuchomoza ndani ya Nyumba

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,935
Reaction score
4,181
Bila shaka ule mwendo ulimtisha kila mmoja aliyekuwa ndani ya Nyumba

Licha ya jitihada zilizotumika kumtafuta nyoka bila mafanikio Leo Kuna watu watalala masikio yote yakiwa nje wakisikia kila kitakacho gonga juu ya bati ili wawahi kutoka nje kuokoa nafsi zao πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…