D Don Calvino Senior Member Joined Mar 3, 2012 Posts 113 Reaction score 29 Mar 5, 2012 #1 Habari zenu,hivi kwa nini baadhi ya watu wakishakuwa maarufu wanajiona hawawezi kusalimia/kusalimiwa na watu wa kawaida? Na pia huenda mmekua pamoja mpaka miaka ya karibuni ila watajifanya hawakujui,tukumbuke tulipotoka jamani...
Habari zenu,hivi kwa nini baadhi ya watu wakishakuwa maarufu wanajiona hawawezi kusalimia/kusalimiwa na watu wa kawaida? Na pia huenda mmekua pamoja mpaka miaka ya karibuni ila watajifanya hawakujui,tukumbuke tulipotoka jamani...
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Mar 5, 2012 #2 Mh! Mi nilijua ni njia mpya ya kubisha hodi! Hii thread itakuwa bomba ikipelekwa complaints.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Mar 5, 2012 #3 Teh tukukaribishe au tuchangie hoja?? Anyway all the best
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Mar 5, 2012 #4 Ngoja kwanza nikukaribishe...............karibu sana!!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,872 Reaction score 13,857 Mar 5, 2012 #5 Karibu jamvi na hoja pia.
Rock City JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 1,266 Reaction score 505 Mar 5, 2012 #6 Umeanza na malalamiko, sijui hujapokelewa paleeeeeeeeeeeee getini? Pole jamani, haya karibu upunguze hasira!
Umeanza na malalamiko, sijui hujapokelewa paleeeeeeeeeeeee getini? Pole jamani, haya karibu upunguze hasira!