Nyodo za Masogange kwa Mwakyembe...

Nyodo za Masogange kwa Mwakyembe...

Katika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..

Nimebaki na maswali tele kwa kweli...

Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?

wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?

Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?

au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?

Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?
The boss

Nyodo za masogange zinajulikana kuwa ni kukata Mauno na kutingisha makalio kwa ustadi na uchokozi uliotukuka hasa kwa jinsia ya kiume.

Kwamba walikutana wapi akamwonesha NYODO hizo, hilo hatulijui.

Ila nafikiri Mwakyembe ameoa.
 
Yeye Mwakyembe kalizungumza hadharani hili ndo tunamuuliza...alikutana nae wapi?kikazi au kibinafsi?
 
Katika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..

Nimebaki na maswali tele kwa kweli...

Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?

wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?

Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?

au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?

Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?
hehehhe ukute na fisi utu kama mafisi wengine
 
Back
Top Bottom