Rudia Mara mbili mbioi kujiukiza swali hilo utaona jinsi mwakyembe alivyo mwongo japo so kwa kosa lake ila ile sumu inamfanya mda mwingine asijue anafanya niniKatika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..
Nimebaki na maswali tele kwa kweli...
Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?
wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?
Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?
au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?
Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?
akili yako ndo imechambua hivyo kweli Tz tuna safari ndefu kwa uelewa huuKatika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..
Nimebaki na maswali tele kwa kweli...
Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?
wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?
Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?
au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?
Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?
Watu wengi wanatumia nafasi zao kiofisi isivyo halali, hata closeness ya Wema na Nape haipo kiprofeshenali, jana niliona kifupi jinsi alivyojitetea juu ya ukaribu wake na Wema.
Rudia Mara mbili mbioi kujiukiza swali hilo utaona jinsi mwakyembe alivyo mwongo japo so kwa kosa lake ila ile sumu inamfanya mda mwingine asijue anafanya nini
Kama alivyosena anawezakuivuta TLS
Mzee kapitiwa akatoa ya siriniKatika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..
Nimebaki na maswali tele kwa kweli...
Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?
wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?
Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?
au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?
Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?
Mbona hajakifanya kwa masogange???!!Only Mwakyembe can answer this... By the way it's ridiculous kwa waziri kuletewa nyodo na raia, si umeona alichokifanya Albert Makonda kwa Manji?... Huu uzi una shake credibility ya Mwakyembe.
Unamwona anavyohangaika kama kuku anataka kutaga yeye masogangeMwakyembe nae ni kama comedian siku hizi
Katika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..
Nimebaki na maswali tele kwa kweli...
Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?
wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?
Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?
au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?
Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?
Kwa nini usimuulize Mwakyembe mwenyewe?
Mara zote Dr. Harrison Mwakyembe, ni mtu makini na haongelei upumbavu. Tuachane na mjadala huuNyodo zake zinaweza kua na tafsiri mbali mbali, ikiwemo
1) Kwamba masogange ni Mtoto Alieumbika, Mrembo wa Kuvutia so pengine Nyodo zake ni katika kumteka akili Mwaky
2) Kwamba Masogange ana mtandao mkubwa (maboss zake) usiogusika na yeyote so anamuona Mwaky anapoteza muda tu
3) ...