The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,230
- 116,849
Katika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..
Nimebaki na maswali tele kwa kweli...
Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?
wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?
Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?
au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?
Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?