Mmh! ! Misemo mingi sijaambulia kitu nimetoka kapaHii iitwe Tanzania
Ni nchi ya pekee duniani
Kalio linakalia fikra za wafikiriaji wa mafikirio
Tutafikiri sahihi?
Labda makalio!
Amemkosea sana Masogange kuweka wazi mambo yao binafsiKatika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..
Nimebaki na maswali tele kwa kweli...
Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?
wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?
Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?
au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?
Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?
Eti Masogange anamletea nyodo, waziri wa mawasiliano na uchukuzi kweli unaletewa nyodo na kisiachana kinachocheza kwenye miziki ya bongo fleva halafu unalalamika?Katika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..
Nimebaki na maswali tele kwa kweli...
Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?
wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?
Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?
au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?
Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?
Eti Masogange anamletea nyodo, waziri wa mawasiliano na uchukuzi kweli unaletewa nyodo na kisiachana kinachocheza kwenye miziki ya bongo fleva halafu unalalamika?
Labda ndio maana masogange akamletea nyodo kwa kujua anaongea na asiehusika so sio lazima ajibuBado kuna kitu Mwakyembe kakificha
watuhumiwa wanahojiwa na polisi na kama ni waziri basi waziri wa mambo ya ndani
sasa yeye Mwakyembe hakuwa waziri wa mambo ya ndani
ilikuwaje akaenda karibu na Masogange hadi 'aletewe nyodo'?
hivi the boss unawaza nini siku hizi, yaani kumletea nyodo mpaka wakutane??? alimtumia ujumbe wa kumwambia mtandao wake ni mkubwa na ana back up ya wakubwa wake, hivo anajisumbua kumfuatilia..Bado kuna kitu Mwakyembe kakificha
watuhumiwa wanahojiwa na polisi na kama ni waziri basi waziri wa mambo ya ndani
sasa yeye Mwakyembe hakuwa waziri wa mambo ya ndani
ilikuwaje akaenda karibu na Masogange hadi 'aletewe nyodo'?
In serious matters mwanamke atakuleteaje nyodo?Nadhani kulikuwa na "extra curricular issues."Katika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..
Nimebaki na maswali tele kwa kweli...
Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?
wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?
Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?
au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?
Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?
hivi the boss unawaza nini siku hizi, yaani kumletea nyodo mpaka wakutane??? alimtumia ujumbe wa kumwambia mtandao wake ni mkubwa na ana back up ya wakubwa wake, hivo anajisumbua kumfuatilia..
the boss you are too smart than that..
tehe tehe tehe nimejikuta nacheka, ila hilo tatizo si sugu hapa kwetu, viongozi wengi hawawezi kutenganisha kazi na personal issues zaoWatu wengi wanachukulia kawaida
but kimaadili Waziri kuleta 'matamanio' yake binafsi na shughuli za kisheria ni tatizo
inastua
tehe tehe tehe nimejikuta nacheka, ila hilo tatizo si sugu hapa kwetu, viongozi wengi hawawezi kutenganisha kazi na personal issues zao
Kwani mtu kukuonyesha nyodo mpaka muonane ana kwa ana? Mbona inawezekana kabisa mtu akaposti mtandaoni picha, video au audio yenye kumzodoa mbaya wake? Je haiwezekani kwa kuwatumia watu walio karibu na Mwakyembe? Mfano 'mwambieni ajiendae kuhama wizara kwa sababu ameingia anga zisizo zake'!? Hakuna stori wala kilichojificha hapa.
Hapo ndo inanifanya nimkumbuke, Marehemu Didas Masaburi (rip), Meya wa Jiji la Dar Es Salaam, aliyepata kusema...nanukuu "Wabunge wengi wanafikiria kwa kutumia Makalio"Hii iitwe Tanzania
Ni nchi ya pekee duniani
Kalio linakalia fikra za wafikiriaji wa mafikirio
Tutafikiri sahihi?
Labda makalio!
Mwakyembe ana matatizo ya kick. Lakini namuamin anaposema Masogange alimletea nyodo. Sishangai kwa Masongange kumzodoa Mwakyembe maana wahusika wakuu(Wizara ya Mambo ya Ndani) walikuwa wametulia, yeye kimbelembele kutoka Uchukuzi akajifanya polisi.Wauza madawa wanachunguzwa na kukamatwa na polisi walio chini ya wizara ya mambo ya ndani
Mwakyembe hakuwa waziri wa mambo ya ndani hadi awe 'mbaya wake'