Young Tanzanian
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,736
- 293
Ni kanda ya kaskazini!!! Wengi wao ni lile kabila ambalo SSM imelitumia kupunguza makali ya upinzani na wameshindwa!!! Wanaogopa pengine wanafadhili CDM kumbe si kweli!! Matajiri wengi Arusha ukianzia na Njake, Bob, Nyaga, Nyiti, Askofu, na wengine wote wanafadhili wale wanaopenda hela sana!! Na wanafanya hivyo maama biashara zao ni za kijambazi!!! Mtoto wa jambazni ni................................Jambazi anazaa..............................Arusha kuna nini? Mbona 'mafogo' wanapukutika katika mazingira ambayo yanazusha maswali mengi?
wasife kwani wao sio watu?
Ndio maana tunajiuliza iweje wafe wote hawa ndani ya mwezi tu? Coincidence does not apply here.Nyiti alkuwa mfanyabiashara mkubwa wa madini arusha alkuwa anaishi tengeru kabila ni mmeru alkuwa na ushawshi mkubwa kifedha na kisiasa ana migodi sehemu mbalimbali ya madini nchini , mawala na sambeke ni wachaga bussines man wenye ushawshi kiuchumi...mungu awalaze mahali pema
There you are...Sidhani kama walikua supporters wa upinzani due to the fact that utajiri na kuwa pro-ccm vinaenda pamoja.. it is just my guess anyway!
[/COLOR]
Bob Sambeke kapata ajali ya ndege_labda uniambie wameitungua,..ila Mawalla hata mimi ninaamini kuna mkono wa mtu.
Kwahiyo M4C INAFADHILIWA NA MAJAMBAZI WA aRUSHA?
Those in bold are ordinary people. Those I mentioned are extra ordinary.
Kweli inawezekana hivi vifo ni vya kawaida? Tunaopenda kutafakari kidogo tunaona kuwa si rahisi kuamini hivi hivi tu. Sijamfahamu huyo Nyiti kwa uzuri ila nadhani ni milionea fulani. Mawalla na Sambeke walikuwa mabilionea, na hawa kwa kiasi kikubwa walikuwa mstari wa mbele kuunga mkono upinzani nchini. Kuna tetesi kuwa tangu M4C ianze baadhi ya hawa wadau wamekuwa mchango mkubwa sana kwa kukua kwa vuguvugu hili. Kwa nini hizi roho zipotee bure na kwa urahisi hivi?
Za chini ya kapeti zinasema kuwa Nyaga alikuwa mfadhili mzuri wa M4CBilionea wote wa bongo ni CCM!. Bilionea pekee aliye support M4C ni Sabodo, tena naye pia ni CCM!.
Kubali tu kuwa kuna ordinary people na extraordinary people.Extra ordinary kwa nani ? Je, kama ungeambiwa ufe wewe halafu hao extra ordinary wabaki ungekubali ?
acha bangi,maboss hawavuti bangi,usijekua kama laswai wa moshi!Kwahiyo M4C INAFADHILIWA NA MAJAMBAZI WA aRUSHA?
Kubali tu kuwa kuna ordinary people na extraordinary people.
UmesomekaNakubali. Na ndio maana nikasema huyo mtu ni extra ordinary kwa nani. Kwa mfano Baba, Baba, Mke, Mtoto wako wanaweza kuwa extra ordinary. Lakini sio kumwita mtu extra ordinary kwa sababu ya pesa yake ambayo hainisaidii chochote, hata nikipata shida hanisikitikii, yeye na maisha yake na mimi na maisha yangu.
wasife kwani wao sio watu?