Siku moja mtu mmoja maeneo ya Mwandiga-Kigoma aliwaona wadudu wadogo mithili ya siafu wakiwa wamejaa kwenye sehemu ambayo alikuwa anahifadhi sukari yake. Mtu huyo alistaajabu sana kuwaona wale wadudu wakiwa wametingwa(busy) wanakula sukari yake, ndipo alipowauliza nyinyi ni kina nani mnakula sukari yangu, wakamjibu kwamba sisi mizi wakiwa na maana sisi ni wezi, basi toka siku hiyo akawapa jina la sisimizi. Tehe tehe kwikwi!
Duh!!hao wezi itakuwa walikuwa wahindi coz matamshi MIZI mara nyingi wahindi ndo huwa wanaitamka
Hivyo basi walikuwa SISIMIZI WA KIHINDI hiyo nayo useme bado hujawahi kuona!!!tehe tehe tehe!!!