Nyimbo za Krismasi

Na wewe jirani yangu Katavi, umekuwa msitu mno.

Hizi nyimbo mbona ni nyingi sana? Sasa unataka zipi lakini?

Mie nili-rip mwaka kutoka kwenye CD zangu Original.

Ili kutunza soko la wanamuziki, naweza kukupa chache ambazo kweli unazihitaji.

Sema nyimbo 10 na kama ntakuwa nazo basi ntakutumia.

Ila bahati mbaya za Kiswahili ninazo kwenye Kaseti tu. Leo nakuwekeeni nyimbo mbili nizipendazo saana:

Huyu jamaa anafahamika sana na haina haja ya kumsema. Wahi uipate hii album nzima.

Kuna huyu mama ambaye hana uhusiano kabisa na akina Michael, Janet, Tito, Marlone, Jermain .... Jacksons. Huyu mama kwa kweli alikuwa na sauti. X-mas haiwezi kupita bila huyu mama kuwatesa majirani zangu na midundo yake ya kizamani sana. Unakuwa kama vile umefika Alabama ingawa hujawahi kufika USA na kushuhudia yale mateso ya Weusi wakati ule na KKK. Pata kitu mwanangu na jitahidi ukipate kwenye CD na achana na MP3 yenye bad quality.......

Pia kuna Celine Dion (kibao chake na R kelly kimepoa. Dolly Parton na wengine wengi waliotajwa. Mariah Carrey mkimbie kama ukoma maana alichemka si kawaida. Toni Braxton anakupa X-Mas in Jamaica, mhhh Kila mtu na mtindo wake anajaribu kuingia kwenye soko la Gospel......
 
Last edited by a moderator:

Asante sana Sikonge kwa nyimbo hizi, hope kipindi hiki nitainjoy season hii ya kuelekea krismas.
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna mtu akitupia wimbo wa Usiku Mkuu wa Flora Mbasha au Mwimbaji yoyote yule atakuwa kafanya njema sana
 
Usiku Mtakatifu [SIZE=+1](KISWAHILI)[/SIZE]

Usiku mtakatifu!
Wengine walala
wakeshao ni Yosefu tu
na Maria waliomlinda
Yesu mwana mzuri
Yesu mwana mzuri.

Usiku mtakatifu!
Wachunga wapewa
habari nzuri na malaika,
zienezwe popote sasa:
Yesu mponya kaja
Yesu mponya kaja.

Usiku mtakatifu!
Siku ya furaha
imetuangaza Kimungu
tumeupewa ukombozi
Kristo amefika
Kristo amefika.
 
I hear River of babylon I hate that song,what if my twins axed why I didn't marry their mom? What if my sons stared at me with face like my own and say they wanna be like me when they r grown damn I aint finish grown.
 
Kuna zilipendwa wimbo unaimbwa hivi. Nakolele mamaaaa, nakolele.
Ambae anaufahamu tafadhali msaada
 
Mie naipenda ile iimbwayo hivi:
KAKOLELE MAMA KAKOLELEE X4
VIVA XMAS X3
NOEL BABA NOEL BABA
YESU....... Mwenye nayo aitume
Nalog off
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom