Nyimbo za Krismasi

ktk kipindi hiki cha kuelekea ktk ile sikukuu bora kabisa ya x-mas basi hapa ndipo jim reeves huwapiga bao Keny Roggers na Don William.
Jim Reeves ana nyimbo zake 12 hizo ni Balaa.

Then ukija kwa Bony M nae ana Feliz Navidad, Hooray Hooray its holy holy day, ribons of blue, pia wana nyimbo yao ya mwaka mpya ikifahamika kama Calendar Song, nyimbo hii inataja miezi 12 kwa kiinglish, pia wana nyimbo zao nyingine.


ABBA wao wanayo inaitwa Happy New Year.

Baba Gaston nae anayo ya kwake ya kuitwa Kakolele...

Kakolele mamaa kakoleleee
Kakolele maaa kakolelemaaaa

Kakolele mamamaa yelengie eeh
Masiya yo kolela nako yo mamaaa
Noele mamaa
Noe
Noele Mamaa
Noe
Noele mamaa Yesu amezaliwa
Viva x-mas
Viva x-mas
Viva x-mas
Yesu amezaliwa


Hizo zooote 9 sasa kuna hiyo wanasema...
Iyoooo x-mas iyoo iyooo
1 2 3 4
ii happy x-mas iyoo iyoooo
ii happy new year iyooo iyooooo x8

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

1 2 3 4
ii happy x-mas iyooo iyooooo
ii happy new year iyoo iyooooo x8....



Ok je nani anazitaka nyimbo zooote hizo?
Tantee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu ndio huu tena, tunaomba mpya za msimu huu.......
 
Msimu ndio huu tena, tunaomba mpya za msimu huu.......
Mary's boy child Jesus Christ was born on Christmas day.


Feliz Navidad
Próspero año y felicidad
I wanna wish you a merry Christmas ×3
From the bottom of my heart
I wanna wish you a merry Christmas

Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh..

Mbali kule nasikia malaika wa mbinguni,
Wakiimba wengi pia wimbo huo juu angani..
Gloria in excelsis Deo
Gloria in excelsis Deo

MY FAVORITE 🔥🔥😍
 

Merry Did You Know by Pentatonix

My favorite so far
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom