Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 384
- 758
Gospel za kuanzia miaka 15-16 iliyopita kurudi nyuma zilikuwa na UPAKO sana, hisia zilitawala. Binafsi sichoki kusikiliza hizo maana Kwa sasa naona sijapata mbadala wa hizo. Gospel za sasa wanasema ni za kisasa lkn binafsi sioni wala kusikia 'ladha' yake.Je ni nyimbo gani ambazo ukisikiliza zinakusogeza karibu na Mungu
Binafsi kuna nyimbo kadhaa ambazo kwa kweli zimekuwa baraka sana katika maisha yangu ziko ngingi kutoka kwa watumishi wa Mungu ila ziko ambazo wakati wote nikizisikia zinanivuta sana karibu na Mungu
Mtumishi wa Mungu wa hapa Tanzania ambaye nyimbo zake zimekuwa baraka katika maisha yangu ya Ukristo ni Mtumishi wa Mungu Upendo Nkone kipekee Mungu ambariki sana kwa Nyimbo ambazo amekuwa akitoa nyimbo zake nyingi nimezisikiliza tangu zamani miaka ya 2010s kwa kweli amekuwa baraka sana katika wokovu wangu
Na nyimbo ambayo wakati wote imekuwa ikinibariki sana , Ulisema Ninaposhindwa
Kwa kweli ni wimbo ambao umebariki sana maisha yangu ya Kristo, nyimbo ambayo imekuwa ikinivuta karibu na Mungu na kuona ukuu wa Mungu katika Maisha yangu kwa kweli Mungu Mbariki sana Mtumishi wako
Ulisema Ninaposhindwa Nikuite
Pia ziko nyimbo nyingi ambazo mtumishi huyu ametoa ambazo zimekuwa baraka katika utumishi wangu kama vile
Uniongoze
Hapa nilipo
Usifurai juu Yangu
Mungu baba
Upendo wa Yesu
Neno lako ni Taa
Nakadharika kwa kweli Mungu wa Mbinguni ambariki kwa kuwa sehemu ya watumishi ambao walisaidia kutunza mahusiano yangu na Mungu.
Mtumishi Mwingine ni Mchungaji Abihudi Misholi kwa kweli nikikumbuka enzi zile nyimbi ya mtumishi lazima uwe na CD , alikuwa baba wangu wa kiroho katika upande wa nyimbo nimenunua kanda zake na kuwa nazisikiliza mara kwa mara
Nakumbuka kipindi kile cha miaka ya 2010s nyimbo yangu pendwa kwa mtumishi huyu zilikuwa zifuatazo:-
Mungu yupo hapa
Shuka Bwana Shuka
Tenda miujiza
Nimebaki pekee yangu
Kwa kweli nyimbo zake zilikuwa zinaleta utukufu ndani yangu, nimemwona Mungu kupitia mtumishi huyo kwa kweli katika hatua zile za Mwanzo watumishi hawa walikuwa baraka sana katika maisha yangu
Pia siwezi kumsahau John Lisu nakumbuka kipindi hicho ndo album yake ya Jehova Yu hai imetoka na nyimbo ambazo zilikuwa hazikosekana kwenye chumba cha maombi
Nisimamishe huu ulikuwa kama wimbo wa taifa kipindi hicho cha wokovu kwa kweli Mungu ambariki sana amekuwa sehemu ya wokovu wangu
Hakuna kama wewe kwa kweli ulikuwa ni mwimbo wa viwango vyingine
Hakuna kama wewe
Hakuna kamwe p
Pekee yako umetukuka
Nani kama wewe x2
Mataifa yatetemeka
Nani kama wewe
Umejivika heshima na Nguvu
Nani kama wewe
Mataifa yatetemeka
Nani kama wewe
Umejivika heshima na Nguvu
Nani kama wewe
Hahahahahakuna
Mwingine kama wewe ....
Miaka 2010s Tanzania hakukuwa na mtumishi wa nyimbo za kusifu na kuabudu kama John Lisu amekuwa mlango kwa watumishi wengi vijana kwa kweli Mungu ambariki sana
Solomon Mkubwa:Je ni nyimbo gani ambazo ukisikiliza zinakusogeza karibu na Mungu

SahihiiGospel za kuanzia miaka 15-16 iliyopita kurudi nyuma zilikuwa na UPAKO sana, hisia zilitawala. Binafsi sichoki kusikiliza hizo maana Kwa sasa naona sijapata mbadala wa hizo. Gospel za sasa wanasema ni za kisasa lkn binafsi sioni wala kusikia 'ladha' yake.
Ninatamani warudie kuimba Kwa hisia Ile Ile, Melody Ile Ile na tone Ile Ile ili tuzidi pata ladha. Sasa hivi gospels zimechangaka melodies kama Dansi, hisia hakuna.Sahihii
Hakuna vipaji tenaNinatamani warudie kuimba Kwa hisia Ile Ile, Melody Ile Ile na tone Ile Ile ili tuzidi pata ladha. Sasa hivi gospels zimechangaka melodies kama Dansi, hisia hakuna.
Na kwa sasa asilimia kubwa ya nyimbo za injili ni AIHakuna vipaji tena
Wachovu hakuna anayejipa muda wa kutunga na kufikiriNa kwa sasa asilimia kubwa ya nyimbo za injili ni AI
Ni kweli Ai inatumika sana ila haiwezi kuondoa radha ya mzingi wa asili hasa mwenye emotionNa kwa sasa asilimia kubwa ya nyimbo za injili ni AI
Naongezea Nibebe wa Rose,huyu dada alijipinda sana kwenye huu wimboGospel za kuanzia miaka 15-16 iliyopita kurudi nyuma zilikuwa na UPAKO sana, hisia zilitawala. Binafsi sichoki kusikiliza hizo maana Kwa sasa naona sijapata mbadala wa hizo. Gospel za sasa wanasema ni za kisasa lkn binafsi sioni wala kusikia 'ladha' yake.