Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,975
Wahusika wakamatwe na kushitakiwa......Waafrka tunajitahidi kuachana na hizi dini za kikoloni zisizo na mashiko kwetu, waafrika wenzetu wanatulazimisha tuzisikilize kwa lazima, why?Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.
Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.
Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.
Kusifu ukuu wa Mungu huku unelewa ni dhihaka, kwa sababu si akili zako, ni za pombe! Na kisha ni kumuambia Mungu kuwa unafuja Neema Zake alizokupa, ndio ukazipeleka kwenye ulevi.Yesu mwenyewe alikuwa anakwenda kwa wenye dhambi na anaongea nao na kula nao, sembuse nyimbo tu!
Tena siku hizi kuna hizi liveband huwa wanapiga cover unakuta walevi ugimbi umeshapanda kichwani watu wanasifu na kuabudu ukuu wa Mungu.
Msikiti = Majini yanayokwenda kupeleka mrejesho kwa maboss waoMisikiti inaingiaje kwenye ushetani hapo?
Pombe ni zana ya shetani karika kumuingiza mtu kutenda dhambi. Kwa sababu anapoteza uwezo wake wa akili wa kawaida. Ni wangapi washafanya maasi wakiwa wamelewa na waliporudiwa na akili wakaanza kujutia?
Duuuh! Majini msikitini? Quran unasema misikiti yote ni ya Allah na asiabudiwe yeyote isipokuwa yeye. Hiyo ya majini kupeleka mrejesho kwa maboss wao msikitini inatokea wapi?Msikiti = Majini yanayokwenda kupeleka mrejesho kwa maboss wao
Pombe si mbaya ila kuzudisha kipimo ndiyo mbaya kwani utalewa.
Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.
Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.
Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.
DaaahDunia na vyote vilivyomo ni vya Mungu....utasemaje bar ni sehemu ya shetani.
Kuna ule wa "Yesu unipende leo kuliko jana", ukipigwa halafu vyombo tayari vimekolea unatamani hadi kumpa dj hug.
Yeyote, mwenye imani huzidishiwa na asiye na imani huipatq...isopokuwa kichwa kikishavurugwa na pombe hakiwezi kufikiria inavyostahili!Ni nani hasa anastahili asikilize nyimbo za dini, ni shetani au ni malaika (mtu mwema) ?!
Again, DINI. Umeongea vizuri hapa, dini hazijaundwa na Mungu bali binadamu na kanuni ama amri zote mle zimewekwa na wanadamu ili kutawala na kuwatisha wenzao. Umeshawahi kusikia fulani kahukumiwa kifo na Mungu baada ya kunywa pombe? Msipende kujikaririsha upuuzi tu, tumieni akili. DINI zimeundwa kwa ajili ya kutishia wanadamu na kuwatawala kwa sababu zama zile Mashariki ya Kati na Bara la Ulaya watu walikuwa wanauana tu kama mchezo na Mohammed alikuwa kinara wa mauaji, nani anabisha? Bara la Ulaya wazungu walikuwa wanauana hovyo, wanafilana, wanabakana, wanafanya mapenzi na wanyama, na kushea wapenzi wao. Hali ilivyokuwa mbaya ndipo Constantine wa Kwanza akishirikiana na Wafalme 12 wa nchi za Ulaya wakaünda "The Nicene Crede," au makubaliano ya Ukristu, kufuta ujinga uliokuwa unafanywa na wazungu wa karne ile. Lengo haswa ilikuwa kuwafanya wazungu wote kuwa Wakristu kutoka Upagani na waliokataa Ukristu walichinjwa hadharani. Na miaka kibao baadaye alipokuja T.B. Joshua wa Kiarab (Mtume Mohammed), naye akawa anafanya haya haya, kulazimisha watu kuwa Waislam na wakikataa aliwaua. Waafrika tumedanganywa sana kuamini vitu tusivyovijuwa.Duuuh! Majini msikitini? Quran unasema misikiti yote ni ya Allah na asiabudiwe yeyote isipokuwa yeye. Hiyo ya majini kupeleka mrejesho kwa maboss wao msikitini inatokea wapi?
Dini zinakataza pombe bila kutaja kiasi, kwa hiyo si vema wewe kuhalalisha.
Hahaaaa!! Nadhani unaenda nje ya mada. Kuwa kama msomi na baki kwenye main point! Nyimbo za dini sehemu za starehe!Again, DINI. Umeongea vizuri hapa, dini hazijaundwa na Mungu bali binadamu na kanuni ama amri zote mle zimewekwa na wanadamu ili kutawala na kuwatisha wenzao. Umeshawahi kusikia fulani kahukumiwa kifo na Mungu baada ya kunywa pombe? Msipende kujikaririsha upuuzi tu, tumieni akili. DINI zimeundwa kwa ajili ya kutishia wanadamu na kuwatawala kwa sababu zama zile Mashariki ya Kati na Bara la Ulaya watu walikuwa wanauana tu kama mchezo na Mohammed alikuwa kinara wa mauaji, nani anabisha? Bara la Ulaya wazungu walikuwa wanauana hovyo, wanafilana, wanabakana, wanafanya mapenzi na wanyama, na kushea wapenzi wao. Hali ilivyokuwa mbaya ndipo Constantine wa Kwanza akishirikiana na Wafalme 12 wa nchi za Ulaya wakaünda "The Nicene Crede," au makubaliano ya Ukristu, kufuta ujinga uliokuwa unafanywa na wazungu wa karne ile. Lengo haswa ilikuwa kuwafanya wazungu wote kuwa Wakristu kutoka Upagani na waliokataa Ukristu walichinjwa hadharani. Na miaka kibao baadaye alipokuja T.B. Joshua wa Kiarab (Mtume Mohammed), naye akawa anafanya haya haya, kulazimisha watu kuwa Waislam na wakikataa aliwaua. Waafrika tumedanganywa sana kuamini vitu tusivyovijuwa.
Hovyooo.Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.
Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.
Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.