Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,381
Wacha akili za kipuuzi, aliyekuambia Bar ni sehemu ya kishetani ni nani? Kuna sehemu ya kishetani zaidi ya haya makanisa ya kina Mwamposa au Misikitini?Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.
Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.
Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.
Kuna dude limeimbwa na Zabrone Singers linakwenda kwa jina la "MKONO WA BWANA" acha kabisa. Mpaka baadhi ya ndugu zetu Waislam wanausikilizaDunia na vyote vilivyomo ni vya Mungu....utasemaje bar ni sehemu ya shetani.
Kuna ule wa "Yesu unipende leo kuliko jana", ukipigwa halafu vyombo tayari vimekolea unatamani hadi kumpa dj hug.
Nani aliekwambia dini NI kanisani tu ? Mwamposa alianza kuhubiri Bar moja ipo pale Sinza jioni walevi kabla ulevi haujakolea alikua anapewa kinasa na kipaza sauti anaanza kuhubiria walevi kwanza akimaliza walevi wanaendelea kupiga gambe km kawaidaSehemu hizi ni sehemu Shetani
Ndio hio Mkono wa Bwana imetafasiriwa kinyume yaan ni wale wanaopewa Bia za offer ndio huimba kwa furaha kwa yule alietoa offer wanye Bure, umuimbia kua wameuona Mkono wake maana alinyoosha tu wale pale wape bia buckets 3 wanywe wagalegale, likipigwa humgeukia na kumuimbia 'tumeuona Mkono wako Bwana'Kuna dude limeimbwa na Zabrone Singers linakwenda kwa jina la "MKONO WA BWANA" acha kabisa. Mpaka wale wanaokula futari wanao
Heshima yakoDunia na vyote vilivyomo ni vya Mungu....utasemaje bar ni sehemu ya shetani.
Kuna ule wa "Yesu unipende leo kuliko jana", ukipigwa halafu vyombo tayari vimekolea unatamani hadi kumpa dj hug.
Kujichubua ni ushetaniWANAOZIIMBA TU NI WATU WA SHETANI FULL KUJICHUBUA NA WENGI WAO HAWANA NDOA NA HAWASALI TENA NI WAZINZI WA KUTUPWA,HAPO UNASEMAJE?
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Kichwa kimeshachanganyika wataelewa nini? Na tunajua Bar si sehemu ya stahaWe mtoa uzi vipi babu izo nyimbo zinatakiwa zipigwe uko uko bar wale walevi ndo wanaohitaji kukumbushwa unataka zikapigwe church tena inatakiwa wasikilizishwe kondoo waliopotea
Hiyo ni nadharia pofu, kwa sababu imani inakataza matendo maovu....labda tu useme ulevi si miongoni mwa matendo maovu.
Utakapoulizwa utoe ushahidi wa uzinzi wao unaweza? Au ndivyo unavyowadhani? Dhana inaweza kukupeleka kupata dhambi, hata hivyo kama wewe unalijua na viongozi wa dini zao wanalijua walipaswa kuwanasihi kwa sababu wao wanakuwa ni kioo kwenye jamii yao. Ama vipi ni bora wajiondoe kundini kabisa, kama yule Mzee Yusufu alijisema yeye amerudi rasmi kuimba taarabu na hawezi kuchukuliwa kama kigezo cha ntu wa dini.WANAOZIIMBA TU NI WATU WA SHETANI FULL KUJICHUBUA NA WENGI WAO HAWANA NDOA NA HAWASALI TENA NI WAZINZI WA KUTUPWA,HAPO UNASEMAJE?
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Misikiti inaingiaje kwenye ushetani hapo?Wacha akili za kipuuzi, aliyekuambia Bar ni sehemu ya kishetani ni nani? Kuna sehemu ya kishetani zaidi ya haya makanisa ya kina Mwamposa au Misikitini?
Na akiwa keshalewa anaelewa nini? Neno linapaswa kuipata akili inayoweza kutafakari.Hapana ni vi, uri tu ili apate neno nao hapo hapo walipo wafuatwe na neno
Utampata wapi mlevi umpe neno?
Wakati akiamka tu kalewa[emoji3][emoji3]
Sijasema dini ninkanisani tu! Umenisingizia hapo, sitaja jila la sehemu yoyote ya ibada. Najua dini na ibada inaweza kufanyika popote kwa sharti pawe pasafi. Nakataa Bar si sehemu mojawapo.Nani aliekwambia dini NI kanisani tu ? Mwamposa alianza kuhubiri Bar moja ipo pale Sinza jioni walevi kabla ulevi haujakolea alikua anapewa kinasa na kipaza sauti anaanza kuhubiria walevi kwanza akimaliza walevi wanaendelea kupiga gambe km kawaida
Likipigwa Lile la hakuna mungu kama wewe😂😂 Lile goma Haina mpinzaniKusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.
Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.
Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.
Sasa ikiwa aliyekunywa haruhusiwi hata kuendesha gari, unadhani ataweza kutafakari neno???Jamani anayetibiwa si mgonjwa hao ni kwamba wanaonekana wamepotea hapo ndo wanapata ujumbe wa Mungu ili watubie .
Sasa hivi kuna ile ya umeniinua chini mpaka juu, unasikia tu walevi wanavyoshangiliaLikipigwa Lile la hakuna mungu kama wewe[emoji23][emoji23] Lile goma Haina mpinzani
Binadamu ni muelewa ndo maana watu wanatubu ..Sasa ikiwa aliyekunywa haruhusiwi hata kuendesha gari, unadhani ataweza kutafakari neno???