MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,607
- 39,381
Tumeuona mkono wako bwana... ukiwa mitungi una vibe sanaDunia na vyote vilivyomo ni vya Mungu....utasemaje bar ni sehemu ya shetani.
Kuna ule wa "Yesu unipende leo kuliko jana", ukipigwa halafu vyombo tayari vimekolea unatamani hadi kumpa dj hug.
Yesu unipende leo kuliko jana
Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.
Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.
Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.
Kuna mwakampya iligongwa "NIMEUNA MKONO WAKO BWANA" Bar HAKUNA MTU ALIKAA KWENYE KITI HASA UKIZINGATIA ILIKUWA SAA.00GMTKusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.
Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.
Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.
Labda starlight/matako barHapana hata hatukupita rough road wala haiitwi mianzini na ni sehemu tu nzuri mie sio mwenyeji huko
Hapo the hubb tulipita tu tukitokea huko band miguu haijiwezi hata kunyanyuka...tukaona ujinga huu acha tukalale sasaThe Hubb asingerudi kwao
Evelyn Salt
Mi Wimbo wowote unaomtaja Yesu na Yehova najua ni nyimbo za dini.Nyimbo za kina masanja,Rose muhando,bukuku na Gosbert dogluck na zenyewe unZiita nyimbo za dini uko serious kweli we jamaa
Kuna Matako BarMianzini mataa pale?
Mbona hakuna bar ya maana pale au kale ka mianzini club?
Siku hizi kamefungwa
Japo siku hizi imefifia sanaKuna Matako Bar
Yesu alikuja kuwatafuta walio potea.ili warudi kundini.Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.
Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.
Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.
Hili neno shetani unajua maana yake?tafuta kwa asili ya neno hili kisha maanake kisha uje hapa tueleze halali wa kwaya wanazo imba wakina muandoKusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.
Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.
Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.