Nyimbo ya mziki ya Darasa yavunja rekodi

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,364
4,612
Nyimbo ya darasa ya mziki imekua gumzo kias cha kupendwa had na wanaaiasa wa ngazi za juu. Imethibitiswa baada ya kiongoz wa ngaz wa juu wa chama tawala kukutwa akisklza na kuicheza nyimbo hiyo
 
Kuna maisha nje ya siasa ama itikadi kwa hiyo mwanachama ama na itikadi fulani huzuiwi kuburudika as long as hujavunja sheria za nchi ama chama chako
 
Kuna watu wengine yaani huyu nikimkumbuka kwenye bunge la katiba na mtego wa ccm alioukalia sasa hivi nachoka kabisa
Ila ngoja niache maneno weka mziki
 
Hapa ndio utaona ubora wa wateule.
Wako bize na facebook na magroup ya whatsapp bila kujali heshima ya nafasi zao
 
..nliipenda alvo imba.. ila mwishon kusema sjui KTU gn oyee dahh kanharbia poz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom