Nyimbo ya mziki ya Darasa yavunja rekodi

Kajamaaa haka jama sometime kanslipukaga tu hahaha ukiomba mech lazima usemepoh wamekapatia walivyokapa hiyo kazi na chadema muwe mnaiga vitu vingine ni kipaji sio ukanda ngoja awakalishe
 
Kiswahili kimepatwa na nini sijui siku hizi?Badala ya wimbo,mtu anasema nyimbo.Neno nyimbo linamaanisha ni wimbo zaidi ya moja.Maneno haya siku hizi ni mengi;bule,akuna,apana,amekura,Juma amekua mjanja badala ya amekuwa.Yaani mara nyingine inakuwa ni vigumu hata kumuelewa mtu.
 
hiyo wenyewe wanaita....Speech Simplification. Mtu anatafuta njia rahisi ya kutamka maneno ili asipate tabu katika kuwasilisha kile alicho nacho
 
Kuna jamaa alishaimba sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza masikini wenye majina makubwa iyo rekodi ingekuwa ya kuinfiza pesa ingekuwa poa sana
 
Ni wimbo mzuri lakini nyimbo za tamaduni music; NIKKI MBISHI, NASH MC, SONGA, ONE INCREDIBLE. Ni nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom