Kweli kabisa, nami nasikiliza country music. Yaani, kama mpenzi wa music, masongi mazuri yamezagaa kila kona. Kwenye soft rock huko nako balaa, ukija reggae balaa, neo soul ndo usiseme, jazz uwiii. Yaani ni kusikiliza pande zote na kufocus kwenye meseji kwanza, utapenda.
Shikamooni jmn yaani nimecheka mpk nimelia kilambalambila kati ya hizi umechagua IPI sasa?
Lakini mpk hapa si ushapata dedication ya kuutumia mchepuko Mpya?Maana watu wametiririka vibaya mno!!hapa mkuu sijaona hata moja! Hizo ni za kubomoa sl kujenga
Hahahaha umepita kimyakimya...unachimba gesi
hahahaaaa bado sijaifikia gesi ila niko nayo karibu
Shikamooni jmn yaani nimecheka mpk nimelia kilambalambila kati ya hizi umechagua IPI sasa?
hii nyimbo naipenda jaman hata cjui kwa nn!
Sijambo jembe afrika kwema huko?marahaaba hujambo?
Lakini mpk hapa si ushapata dedication ya kuutumia mchepuko Mpya?Maana watu wametiririka vibaya mno!!
Lazima kuna jambo huko
kuwa na amani tu ntakuletea zawad
Ww mwnyw ukija ni zawad tosha
amen...
John_Legend_All_of_me.
How do i live without you-Mary carey.
Rest of my life_lara george
U beautiful_james blant
I need u_McAnthony
Lkn ukitaka akuelewe upo seriaz mtwangie "chop my money"--zifurulize zile sms 2 za M pesa
Hakuna haja ya kumchunguza...... we mdediketie kale kawimbo ka amassadors of Christ kanaitwa Kwanini Umeyaruhusu.