Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,478
- 11,669
Wakuu nimepata mpenzi mpya ila anapenda sana kutumiwa dedications za nyimbo. Mi nataman kumtumia maana ndo kitu anachokipenda. Sasa nauliza wazoefu ni nyimbo gani nimtumie maana mi hii desturi ya madedication ya nyimbo sijaizoea na nyimbo sizijui
Uyo demu wako ataua -18 na dedication kwenye ulimwengu huu
kinyago cha mpapure 🙁
hii inaimba kilugha gani mbona hata jina lake linatisha