Nyimbo ya Kanye West ambayo mastaa wako uchi yaingia tuzo za MTVEMA

Btwainy

Member
Oct 15, 2015
13
7
Kanye west msanii toka maandishi matatu USA, miezi mitatu iliyopita iliachia ngoma yake iendayo kwa jina la "Famous" akiwa amemshirikisha msanii Rihanna ambayo video yake ilitoka ikionyesha sanamu za nta "wax" za watu maarufu mbalimbali wakiwa uchi wa mnyama.

Video hiyo iliyotelewa ikionyesha sanamu za watu kama Rais wa zamani wa marekani George W bush, Mgombea Urais wa marekani kwa sasa Donald Trump, Msanii Taylor swift, Mwanamitindo Kim kardashian na wengine wengi wakiwa uchi imechaguliwa kushindania Tuzo za Mtvema kama moja ya video bora za mwaka link hii hapa chini....

Kanye West Famous-Best video mtvema,

Swali ni je anastahili heshima ya tuzo hii

Ione video ya Kanyewest-Famous hapa chini
 
Hawa wana maana nyingine!! Siyo viddeo bora! Wala siyo video ya music bora! Labda video bora ya uchi,almost nusu yote inaangazia watu wanaokoroma(no music) Kanye Na Jay wanatupandisha ngazi taratibu na taratibu tunazipanda bila kujua!! Bongo nako hivyohivyo,Diamond kachukua mziki wa mtu,kaurembesha kwa matusi kiasi,na sisi tukausifu kwa vigelegele! Devil in the making.
 
Nachoshimdwa kuelewa n kwa kiasi gan jamaa huyu anajiamin kutumia wax dolls za watu maarufu hvyo..

Kweli na alivyojiita mungu et yeezus na dully kwenye nyimbo ya inde nae kavaa kama sjui kupromote sjui kutoelewa

Tuombe Mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom