Btwainy
Member
- Oct 15, 2015
- 13
- 7
Kanye west msanii toka maandishi matatu USA, miezi mitatu iliyopita iliachia ngoma yake iendayo kwa jina la "Famous" akiwa amemshirikisha msanii Rihanna ambayo video yake ilitoka ikionyesha sanamu za nta "wax" za watu maarufu mbalimbali wakiwa uchi wa mnyama.
Video hiyo iliyotelewa ikionyesha sanamu za watu kama Rais wa zamani wa marekani George W bush, Mgombea Urais wa marekani kwa sasa Donald Trump, Msanii Taylor swift, Mwanamitindo Kim kardashian na wengine wengi wakiwa uchi imechaguliwa kushindania Tuzo za Mtvema kama moja ya video bora za mwaka link hii hapa chini....
Kanye West Famous-Best video mtvema,
Swali ni je anastahili heshima ya tuzo hii
Ione video ya Kanyewest-Famous hapa chini