Nyimbo Mpya ya Nash MC ZIMA (Lyrics)

Nyimbo Mpya ya Nash MC ZIMA (Lyrics)

"Nash mc baba yangu ni mkristo na mama mzazi ni muislamu safi,

Najua m'taniuliza hapo ukowapi/

Mungu ni moja hayo maswali basi/

Niite unavyotaka ustadhi au shemasi/"
 
"Udhaifu ni tusi usitukane hadharani/
utajikuta kizimbani utakuja kujuta unaozea gerezani/

Raisi hatukanwu labda wa Mazense au masharabaro.
 
"Freemason jumlisha wakosa kazi hiyo ni bongofleva tafsri unavyoweza"
 
Nash itikadi kali kaskazini.

Kululete,,,,para,,,,
 
Palla.

Kalulete!!

Duke!!

Mujuhki!!


Daz knowledge!!
 
Naandika kuhusu matukio ya afrika na vita vya kilasiku Congo,sudan.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom