Nyimbo hii/Wimbo huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyimbo hii/Wimbo huu

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by furahi, Feb 23, 2011.

 1. f

  furahi JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nadhani kwa sasa haya maneno yamekuwa gonjwa la kitaifa. Ninachefuka sana pale mtangazaji wa redio/tv mwenye digrii ya mass communication anaposema Nyimbo hii imeimbwa na...
  Ninavyofahamu Nyimbo ni wingi wa Wimbo.
  Nyimbo 2, Wimbo 1. Tujirekebishe jamani. Lugha za kigeni zenyewe hatuzijui, bado na lugha yetu tunaivunjavunja.
   
Loading...