hassandilunga
Senior Member
- Mar 17, 2020
- 146
- 149
Guys hivi ni nyimbo gani kaliii za taratibu ambazo zinafaa kusikiliza hasa mida ya usiku..Ngoma laini zile zilizoimbwa kwa hisia kali.
Mfano.
Ed Sheeran_Thinking out loud
Ed Sheeran_Perfect
Enrique Iglesias_Hero
Naombeni nyingine nyingi tu nitajieni nidownload. hata zikiwa zaidi ya 100 sawa tu.
Zile za taratibu. Zilizoimbwa kwa hisia kali.