hassandilunga
Senior Member
- Mar 17, 2020
- 146
- 151
- Thread starter
- #21
Unamjua Sia mkuu? Nae ni janga
Unamjua Sia mkuu? Nae ni janga
dah, sijapata emoji ya flash ila unafaidi sana mkuu.
Mkuu naziomba hasa zile za taratibuu...Secret love,..atlantic star
colour of winds ...vanesa William
From a distance...bette milder
Lady in red....chris DeBurgh
Rest of my life...karry White
Sexual healing...Marvin gaye
When a man loves a woman ..
M.bolton
Girl I'm gonna Miss you . milli vanill
That night we met. Jb
One more night..phil C
I Will always love you..whitney Houston
I don't ever Wana see you again..uncle Sam
Nikita....
Mkuu kwa uchache hizo ukipata mke anazielewa ngoma za Mabeberu za kitambo sijui km mtanuniana siku ikaisha
Nina playlists ya hatari mno
Sawa NduguNikipata wakati
Yes yuko poa, ila sijawahi kuwaza kama kuna mtu anaweza akanifurahisha kwa nyimbo za slow kuliko C.DionUnamjua Sia mkuu? Nae ni janga
Dion ana dude moja kafanya na Neyo,,,Incredible Aaaaah🙌Yes yuko poa, ila sijawahi kuwaza kama kuna mtu anaweza akanifurahisha kwa nyimbo za slow kuliko C.Dion
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta mkuu playlist hyo
Yule bibi sikumbuki kama amewahi kufanya ngoma mbaya, ndo maana kwenye playlist yangu najikuta nyimbo kama robo naweka zakeDion ana dude moja kafanya na Neyo,,,Incredible Aaaaah[emoji119]
Lucky dube lomeo and julieth[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Guys hivi ni nyimbo gani kaliii za taratibu ambazo zinafaa kusikiliza hasa mida ya usiku..Ngoma laini zile zilizoimbwa kwa hisia kali.
Mfano.
Ed Sheeran_Thinking out loud
Ed Sheeran_Perfect
Enrique Iglesias_Hero
Naombeni nyingine nyingi tu nitajieni nidownload. hata zikiwa zaidi ya 100 sawa tu.
Zile za taratibu. Zilizoimbwa kwa hisia kali.
Nyimbo za misiba hizoneeeerrriiiiiaaaa neeeriiiaaaa oooo ooo oohhhhh zaera moyo ka neriaaa marianooo yoooooo....
haka kawimbo safi sana unapogegeda
Sent using Jamii Forums mobile app
That night ndege aliliwa au?Nilifukuzia muda mrefu sana...nikajikatia tamaa nkamwacha
Baada ya Mwezi yeye Ndio akawa anantafuta ,nikamlia buyu ili kubalance mizani, trick ilifanya kazi
That night we met Ndio ilimaliza kila kitu
Huyo mwanamke ana sauti nzuri sana.unamkubari C. Dion Daaaah
But Nashukuru mkuu