Nyimbo bora za story telling kutoka Bongo

Nyimbo bora za story telling kutoka Bongo

Dizasta siku mbaya


Hii ni zaidi ya story telling[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Side ye akishamaliza anatema [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Amekoma (amekoma)
Amekoma
Amekoma (amekoma)
Amekoma
Alidhani poa poa kumbe sio poa
Ah Side Mnyamwezi
Alidhani poa poa kumbe sio poa
Ah Side Mnyamwezi
Anaitwa Side Saidi Mnyamwezi mtoto wa Mbezi
Ni mtu wa kulipuka pamba ile kishenzi
Anamiliki Prado Corolla pamoja na Benz
Ni kijana mcheshi mtanashati ushauri huwa Hataki
Matumizi yake kwa siku yanazidi laki
Mi namsimulia historia yake sababu nimekua nae
Huyu nimesoma nae mpaka sasa Nishagombana nae
Wazazi walimshauri huyu akawa na kiburi
Alikuwa hana malengo wala dira kama tahira
Ni muongo mtu wa fiksi aliwaharibu mabinti
Hana mapenzi ya kweli analaghai wakina dada
Mwishowe aliwatelekeza bila kutoa msaada
Alikuwa mpenda sifa demu wake wa kwanza alikuwa Latifa
Penzi halikudumu sana miezi kadhaa Wakaachana
Hii ilikuwa ni furaha kwake kashamaliza haja zake
Yule akaenda zake
Akaja akang'oa mwingine alikuwa ni demu wa Rafiki yake
Ye hatambui hilo anahamishia tu kwake
Na juzi kafumwa gesti na mtoto wa dada yake
Tabia yake na mambo yake wengi hawakuipenda
Masela mtaani walishapanga dili wampige mawe
Wazee wamekaa vikao wanatamani wamuue
Huyu jamaa wanamuita kiwembe huwa habakizi demu
Mtaani alimpata Radhia tukajua anamchumbia
Kila siku anae kwenye gari wanakula raha za Dunia
Alimgharamia mpaka tukajua anaoa
Kumbe maisha ya yule binti anaenda kuyatia doa
Radhia atake nini asipewe? Chochote Kisichelewe
Utasikia nataka gari tulia ntakupa
Nataka simu usihofu ntakupa
Hii tabia sijui amerithi au amelogezewa
Anayoyafanya jamani nahisi ametumwa na Shetani
Keshagombana na rafiki zake kisa wanawake
Side huyo
Amekoma (amekoma)
Amekoma
Amekoma (amekoma)
Amekoma
Alidhani poa poa kumbe sio poa
Ah Side Mnyamwezi
Alidhani poa poa kumbe sio poa
Ah Side Mnyamwezi
Side huyo Side huyo
Mnyamwezi huyu hapa tena
Akishamaliza anatema
Aliendelea na tabia yake ili afurahishe moyo Wake
Alishapataga kesi ya kumtorosha mwanafunzi
Na hivi juzi juzi badala ya kung'oa demu kang'oa shoga
Kaenda kula kiboga bila uoga
Kwa tabia yake ya kishenzi alishindwa kuishi Mbezi
Akaja akahamia Chang'ombe akapata demu shombe shombe
Anakunywa pombe
Alimlea vizuri akamuhonga mpaka gari kwao, akatoa mahari
Ni starehe juu ya starehe wanakula raha mazee
Kwa kuwa alikuwa nao wengi hakujua hamchukue yupi, amuoe yupi
Alhamisi Ladies Free kama kawaida Bilicanas
Akaenda akang'oa mlupo alikuwa na rafiki zake
Akawatelekeza wenzake
Eti kisa demu ndo unawatelekeza masela
Aliondoka na huyo demu wakaenda Kujipumzisha
Kumbe demu si demu demu mwenyewe Anatisha
Popote utakapomfikisha lazima atalianzisha
Vimbwanga vilivyomkuta ilibidi Side adate
Wamefika gesti ndani picha linaanza demu jini
Anataka kumvua kimini demu kaanguka chini
Anataka kumsogelea mara demu kapotea
Anataka kumkumbatia demu kageuka kawa Ngamia
Side anaanza kulia anatafuta njia ya kukimbilia
Binti anaanza kubadilika sura za ajabu ajabu
Mara Latifa mara Radhia mara Stella eh
Mara kageuka Rashidi ikabidi Side atoke nduki gesti uchi
Huku anapiga kelele kama mwizi au chizi
Walinzi wamemkosa kosa na mishale walijua Mwizi
Yuko uchi wa mnyama popo angani wanamtazama
Anaita mama mama mama kimefika kihama
Ikabidi wangwana wamsitiri kwa kumpa nguo
Anaapa amekoma Chang'ombe nzima anaona noma
Wiki nzima hii hajatoka nje
Anaona aibu mambo yaliyomsibu
Side huyo Side huyo Mnyamwezi
Amekoma (amekoma)
Amekoma
Amekoma (amekoma)
Amekoma
Alidhani poa poa kumbe sio poa
Ah Side Mnyamwezi
Alidhani poa poa kumbe sio poa
Ah Side Mnyamwezi
Anauza sura Masaki
Anaishi ghetto Magomeni
Choo cha kulenga ugali tembele
Nyumba makuti Side Mnyamwezi
Wanaume walimwambia lakini wapi mchizi hakutaka kusikia
Kila nachomwambia lakini wapi mchizi Hakutaka kusikia
Jibu lake (aah wapi)
Kwa machizi (aah wapi)
Kwa masela (aah wapi)
Amekoma (amekoma)
Amekoma
Amekoma (amekoma)
Amekoma
Alidhani poa poa kumbe sio poa
Ah Side Mnyamwezi
Alidhani poa poa kumbe sio poa
Ah Side Mnyamwezi
Amekoma (amekoma)
Amekoma
Amekoma (amekoma)
Amekoma
Alidhani poa poa kumbe sio poa
Ah Side Mnyamwezi
Alidhani poa poa kumbe sio poa
Ah Side Mnyamwezi
 
inaniuma sana jina la wimbo

Siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku,
Alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku,
Walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser,
Wamejaa hangover utazani jana yake walikesha,
Akaja mshikaji wangu mmoja, kutoka kwenye lilelile gari akaja moja kwa moja, mpaka kwenye mlango wa gheto
, Nature nature kuna mtu anakuhitaji, embu toka umuone,
Kutoka nje namkuta msichana namfahamu kwa jina la tina,
Ambaye alisoma dsj chuo kile kikuu cha habari na nakatika kipindi hichi chote alikua anaishi hosteli, mshikaji akamuita,
Akasema huyo juma huyu hapa, sasa ongea nae muelewane, muende mkajichane.
Inaniuma sana, nikifikilia huwaga nina lia,
Inaniuma sana, kila ninalofanya, linakosekana, inaniuma sana hata watoto wadogo wananicheka sana
Inaniuma sana, nikifikilia huwaga nina lia,
Inaniuma sana, kila ninalofanya, linakosekana,
Inaniuma sana demu wangu amepima amekutwa anangoma,
 
1. Afande Sele – Mkuki Moyoni 123
2. Alikiba – Mac Muga
3. Bizman – ametoroshwa
4. Bushoke – barua
5. Crazy Gk ft Pauline Zongo – Sister Sister
6. Crazy Gk ft Mariamu – Sauti ya Manka
7. Daz baba – Elimu Dunia
8. Daz Nundaz fml – Maji ya shingo
9. Daz Nundaz fml – barua
10. Dully – Salome
11. Dully ft Sebastian ndege – Leah
12. Feruz ft Prof J – Starehe
13. Feruzi ft Nature, Solothang – bosi
14. Feruzi – Wema wangu
15. Hbc – Chemsha bongo
16. Jebby – Orodha
17. Jebby ft Afande – Swahiba
18. Joselin – mshkaji mmoja
19. Juma Nature – Jinsi kijana
20. Juma Nature – Iddi
21. Jcb ft Dunga - bongfleva
22. Jmo ft Nature – Ni mshamba
23. Jmo ft Dully – Maisha ya boarding
24. Jmo – Majukumu
25 Ksal ft Feruz – Mkiwa
26. Kigwema ft Marlow – Sitomsahau
27. Mac D ft Banana – Jumba bovu
28. Mambo Jambo – HIP HOP Mdundiko
29. ManDojo, Domokaya – Dingi
30. Mangwea ft Tid – a.k.a mimi
31. Marlow - Rita
32. Master bros – hadithi hadithi
33. Master bros – barua kwa mama
34. Moxie – Simba anawinda
35. Mwana fa ft Jaydee – Alikufa kwa ngoma
36. Mzimuni fml ft Q chief – fani katika maisha(Mpiga Debe)
37. OCG - Kazeze
38. Prof J ft Nature – Zali la mentali
39. Prof J ft Q chief – Msinitenge
40. Prof J ft Feruz – Nikusaidieje?
41. Q chief – Si ulinikataa
42. Soggy ft Suma Lee – Nilikaona mwaka jana
43. Soggy ft Mandojo, Domokaya – Ni story
44. Sugu – hayakuwa mapenzi
45. Scout Jentaz ft Feruz – Kijana mteja
46. SGF – Athuman mlevi
47. SGF ft Jb – Kichaa (Jerry)
48. SGF – Mechi kali
49. Uswahilini Matola – Kosa la marehemu
50. Wateule – vile vile
Hapo ELIMU DUNIA
MAISHA YA BOARDING na SIDE MNYAMWEZI nakumbuka mbaaalii

Sent from my Nokia 2.2 using JamiiForums mobile app
 
Tusipangiane, wewe weka yako niweke yangu! Na kama unaweza futa yangu yabaki yako!
 
Back
Top Bottom