Nyimbo bora za story telling kutoka Bongo

Nyimbo bora za story telling kutoka Bongo

Au kuna hizi nyingine mbili
1.BABA MSALITI by PC THE MC
2.AFANDE MSELA by PC THE MC
 
yani list yote ni nyimbo za zamani.

siku hizi ni _"ipake mate izame kwa mpalange"
haha hapana mkuu
mwandishi ameegemea sana upande huo.
kunawasanii wa kizazi hichi wako vizuri sana pia Mfano
1:dizasta~siku mbaya, lost one,kikaoni nk
2:Nikki mbishi~play boy
3:sterio~rafiki
4:songa~enzi za uzito,usiku etc

WaPo wengi ila mleta Uzi ni mraibu wa nyimbo za zamani.
 
haha hapana mkuu
mwandishi ameegemea sana upande huo.
kunawasanii wa kizazi hichi wako vizuri sana pia Mfano
1:dizasta~siku mbaya, lost one,kikaoni nk
2:Nikki mbishi~play boy
3:sterio~rafiki
4:songa~enzi za uzito,usiku etc

WaPo wengi ila mleta Uzi ni mraibu wa nyimbo za zamani.
Nyimbo za zamani raha sana, na zinaeleweka kirahisi.
 
Nyimbo za zamani tamu sana, tulikuwa tunapewa story kweny wimbo ila siku hizi tunapewa matusi kweny wimbo
 
Ma
Busu la pink - Marlaw, ni wimbo ulionisaidia kumpata mrembo mke wangu miaka kumi na...iliyo pita.



Marlaw alikuwa fundi sana...sijui kwann hakudumu sana kwenye mziki akaachana nao
 
Soggy doggy-story
Bushoke-mume bwege
Alikiba-run dunia
Z anto-jini
B band-nzela
Noorah-vijimambo
Alikiba-sinderela
Bestnaso-ediga
Linex-salima
Husein machozi-jela
Madee,spack-ripoti
Man x-nimechezea bahati
Malaika band-nakuhitaji
Husein machozi-kafia geto
Chamilone-jamila
20%-ningekusamehe
20%-money money
 
Yale hayakua mpenzi -Sugu, naikubali sana
Japo kuna siku niko na wife na mtoto Sugu akaanza kuomba namba ya wife dah hakujua niko nae, nikamwambia "Joseph mh nini tena "akaniambia sikujua kamanda, toka siku hiyo nikampuuza sana
 
Nnyimbo za SONGA na NASH MC huwa nazielewa sana
 
yani list yote ni nyimbo za zamani.

nyimbo za siku hizi ni _"ipake mate izame kwa mpalange"
Harmonize- never give up
Diamond- a boy from tandale
Ommy dimpoz-ni wewe
Nuhu Mziwanda-Jike shupa
Diamond-Je utanipenda
Diamond-sikomi
 
Back
Top Bottom