Nyimbo bora za story telling kutoka Bongo

Rafiki- Sterio ft Grace Matata

Storytelling bora kuliko zote kwangu

Anakwambia÷

Nilikutana naye
Pande za Kinondoni
Mida ya saa saba za mchana
Ilisema saa ya mkononi
Stand ya daladala maarufu
Kama Morocco mimi natoka
Mbagala naenda pande za King'oko
 
Rafiki- Sterio ft Grace Matata

Storytelling bora kuliko zote kwangu

Anakwambia÷

Nilikutana naye
Pande za Kinondoni
Mida ya saa saba za mchana
Ilisema saa ya mkononi
Stand ya daladala maarufu
Kama Morocco mimi natoka
Mbagala naenda pande za King'oko
Andika full mkuu ili watu wakiGOOGLE wapate hiyo lyrics.
Maana nyimbo zingine lyrics hazipo google
 
1. Rafiki - B boy sterio
2. Play boy - Nikki Mbishi feat. Ben pol
3. Dingi - Mandojo & Domokaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom