Kibundi wa getto JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 455 Reaction score 878 Jul 27, 2016 #1 Mimi kwa upande wangu nyimbo ambayo Diamond amefanikiwa kuuteka moyo wangu mpaka nikahisi yupo kwenye ubora wake ever ni MAWAZO. Wewe je?
Mimi kwa upande wangu nyimbo ambayo Diamond amefanikiwa kuuteka moyo wangu mpaka nikahisi yupo kwenye ubora wake ever ni MAWAZO. Wewe je?
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Jul 27, 2016 #2 .......Aghafla visent sina...nimeuza madaleee!!...
shaks001 JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,246 Reaction score 1,071 Jul 27, 2016 #3 Nyimbo ambayo=wimbo ambao. Acha kuharibu lugha ya kiswahili.
D.A.M. Member Joined Mar 28, 2014 Posts 92 Reaction score 65 Jul 27, 2016 #4 Humu ndani kukiwa na waalimu mambo yatakaa sawa
Granta JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 5,082 Reaction score 6,421 Jul 27, 2016 #5 Wimbo wa Diamond ulionikamata sana ni AJE
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 853 Jul 27, 2016 #7 Granta said: Wimbo wa Diamond ulionikamata sana ni AJE Click to expand... Hasira za kufungwa Yanga usizilete huku, mbona nifah yupo kimya huigi mfano wake? Nitarejea ni wimbo uliobeba hisia kali.
Granta said: Wimbo wa Diamond ulionikamata sana ni AJE Click to expand... Hasira za kufungwa Yanga usizilete huku, mbona nifah yupo kimya huigi mfano wake? Nitarejea ni wimbo uliobeba hisia kali.
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,902 Reaction score 15,928 Jul 27, 2016 #8 Ukimwona is the best
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Jul 27, 2016 #9 Ukimwona
enky Senior Member Joined Aug 30, 2011 Posts 123 Reaction score 142 Jul 27, 2016 #10 ukimwona sijui y hakufanya video yake
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Jul 27, 2016 #11 enky said: ukimwona sijui y hakufanya video yake Click to expand... Yani ile ngoma ni kale kuliko maelezo... manecky anajua sana kutengeneza beat za nyimbo zenye hisia
enky said: ukimwona sijui y hakufanya video yake Click to expand... Yani ile ngoma ni kale kuliko maelezo... manecky anajua sana kutengeneza beat za nyimbo zenye hisia
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Jul 27, 2016 #12 Mimi zote.
K kikuna JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 2,572 Reaction score 2,813 Jul 27, 2016 #13 Asikwambie mtu ukimuona ndio nyimbo yake bora kuliko zote
ora JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 1,198 Reaction score 1,128 Jul 27, 2016 #14 mm miziki yake yote
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Jul 27, 2016 #15 Nitarejea... one of my fav song
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,666 Jul 27, 2016 #16 UKIMWONA is the best. Inabidi afanye remix
talnam JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 1,452 Reaction score 2,831 Jul 27, 2016 #17 nitarejea/kizaizai/kamwambie
Baazigar JF-Expert Member Joined Aug 30, 2015 Posts 1,129 Reaction score 1,103 Jul 27, 2016 #18 enky said: ukimwona sijui y hakufanya video yake Click to expand... UKIMWONA ilivuja hakuitoa rasmi ... ndo sabab kubwa mpaka akagombana na manecky kisa ni huo wimbo kuvuja
enky said: ukimwona sijui y hakufanya video yake Click to expand... UKIMWONA ilivuja hakuitoa rasmi ... ndo sabab kubwa mpaka akagombana na manecky kisa ni huo wimbo kuvuja
Ilankunda1234 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 4,840 Reaction score 4,806 Jul 27, 2016 #19 Mimi kwangu aliponikuna moyo wangu ni ile nyimbo akiwa na geez nabovu JISACHI
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Jul 27, 2016 #20 Ibrah0404 said: UKIMWONA ilivuja hakuitoa rasmi ... ndo sabab kubwa mpaka akagombana na manecky kisa ni huo wimbo kuvuja Click to expand... Yah lakini ilikuwa ni nymbo kali sana. Uwa natamani arudi afanye nyimbi nyingine na manecky
Ibrah0404 said: UKIMWONA ilivuja hakuitoa rasmi ... ndo sabab kubwa mpaka akagombana na manecky kisa ni huo wimbo kuvuja Click to expand... Yah lakini ilikuwa ni nymbo kali sana. Uwa natamani arudi afanye nyimbi nyingine na manecky