Nyie watu mnajua kupenda!!!!

Nyie watu mnajua kupenda!!!!

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
1394306524680.jpg
 
Duh! hakuna ustawi wa jamii huko akashtakiwa huyo kidume?
 
Shikamoo,mimi sijawahi mpiga wangu

Marahaba Deshmo, mke hapigwi mdogo wangu, wengine wanawaita pambo, wengine maua, wengine malaika, yote sawa, usijaribu kupiga
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke wa kikurya asipopigwa anamuona mume wake kama hampendi akipigwa kama hivi anajisikia raha sana na ataona kuwa mume wake sio michepuko.
 
Loh hasbiallah na mapenzi hayo...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom