Nice alikuwa anajiona keki , kwao wana hela , Yeye ni mrembo haswa Ezekiel alikutana nae club,kijana machachari handsome mwenye Sita paki zake,akamwambia Can we dance nice Yasss ofcozi,wakadance ,dance na ulabu dance na ulabu,nice akajua itakuwa 1. night stand ,ikawa 2 3 hatimae mwaka, Mimba juu Ezekiel akaenda mtambulisha kwao ,kila mtu mwanamke mzuri hivi umemtia wapi ,nice akaanza vitimbi vyake ,akapata mtoto wa pili Gadner ,ndo akawa haelewi haambiwi eze akitoka kutafuta yeye club club na yeye,Wakaachana Akapata kibopa Akaanza mtukana Eze ,na uzuri huu nikose wa kiwa nae ,akazinguana na kipiba ,akarudi kwao ,Age imeenda ,Eze 45 akapa mwanamke akaoa ,siku ya ndoa Nice akaaliamsha Anaomba ,akatolewa nje ,sasa hvi Stress znamsumbua,
HATA CHUMA HURUST