Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,728
- 18,242
Write your reply...achaa tamaa
Tatizo lugha wanayotumia ni ya kumtoa nyoka pangoniMi naona hapo mwanamke hana utapeli wowote ni akili yako tu ya uzinzi ndo inakuponza maana had hela unaitoa kwa hiyar yako ili upate kitu flan
GunFire
Seconded!!Speak for yourself
Hivi hiyo avatar ni wewe?Seconded!!
Ni raha tuu wala huwazi maisha, wanaume wote wanahangaika ni kwa ajiri yetuKwa nini mkuu
ha ha ha ha kweli wanaume tumeumbwa mateso....Ni raha tuu wala huwazi maisha, wanaume wote wanahangaika ni kwa ajiri yetu
Ukitulia akajitambua unapata Mr right anakueka ndani.
Ushawishi umezidi halmashauri ya kichwaSasa hapo umetapeliwa nini??
Sasa ile huduma muhimu utaipata wapi mkuu?Bora ulewe/unywe pombe kuliko wanawake
Huduma ipi?Sasa ile huduma muhimu utaipata wapi mkuu?
ha ha ha Mkuu unafahamu vizuri fasihi?Kichwa cha uzi kingine mada aliongelee tofauti basi ili mradi tabu,,
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha haKashapigwa huyu. Sisi wanaume kichwa kikubwa kinaanza kufanya kazi ukishamwaga.
Kweli mkuu,mambo ya mahusiano yanafikirisha sanaBora ya wewe hata umeenda umepata na mzigo,wenzako wanachunwa tu kwa kutuma miamala mwisho wanaachana mtandaoni walikoonana au kwenye simu.