Nyie 'wala wake za watu'

Nyie 'wala wake za watu'

Wake za watu wanaliwa kwa sababu nyingi na nyingi wanaume ndio huzisababisha.

Kwa mfano, kunyimwa ngono kutokana na ulevi uliokithiri. Unakuta mtu anapenda pombe kuliko kitu chochote, hapo lazima tukusaidie. Kuna bwege mmoja nilikua nakula mke wake yeye alikua anatamka kabisa bora kuacha mke ila sio kuacha pombe. Mke akajiongeza akawa ananipa muda wote hadi nikampa mimba na jamaa ananilelea mtoto.

Wanawake ni viumbe wavumilivu sana, ikifikia hatua ameamua kugawa uchi ujue kavumilia sana. Kesi nyingi za wake za watu kuliwa hua zinasababishwa na wanaume.

Kuna mwingine nilikua nakula mke wake kwa sababu alikua hamhudumii chochote mke wake, hajali chochote basi nikawa najipigia navyojisikia. Jamaa hata kumla mke wake alikua anamaliza hata miezi 6 na akisafiri ndio hapigi simu wala meseji.

Wanaume tujirekebishe kwanza kabla ya kulalamika wanawake ama watu wanaowakula. Yule ni mtu mzima hajabakwa hivyo akiliwa katoa ridhaa mwenyewe, usitafte ubaya kwa mwanaume mwingine anza na mkeo.
Hahaha
 
Kiukweli wanaume tubadilike. Tupunguze hizi tabia za kudate na wake watu ingawa nilichojifunza wanawake wengi wanaochapwa nje ya ndoa ni wale wanaolipa visasi baada ya kugundua mme wake ana mchepuko hili linaongoza, Pili kuna wale ambao wanatafuta mahitaji kutokana na waume zao kuwa na hali duni ya kiuchumi, Tatu kuna wale ambao wana hulka ya Umalaya na mme wake alimuoa akiwa na tabia hizo huenda alimkuta Club, danguro nk, Nne kuna wale ambao waume zao wameshindwa kuwatimizia haja zao za kihisia yaaani hawapelekewi moto ipasavyo kwahiyo huko nje wanatafuta faraja ya ngono hapa huenda mme ni mgonjwa, hana hisia za ngono, amesusia mke wake kwa ugomvi, Mume yuko mbali kikazi na mke wake. Kundi hili la nne mara nyingi huacha tabia hiyo mara tu mme wake anapoanza kutoa huduma stahiki na mara nyingi wanajiita MBA yaani married but available.
Anyway mke wa ntu ni sumu.
Hahaha
 
Shimba ya Buyenze hujawahi fanya hii kitu?
What da 👇👇👇

1744133735352.jpg
 
Wake za watu wanaliwa kwa sababu nyingi na nyingi wanaume ndio huzisababisha.

Kwa mfano, kunyimwa ngono kutokana na ulevi uliokithiri. Unakuta mtu anapenda pombe kuliko kitu chochote, hapo lazima tukusaidie. Kuna bwege mmoja nilikua nakula mke wake yeye alikua anatamka kabisa bora kuacha mke ila sio kuacha pombe. Mke akajiongeza akawa ananipa muda wote hadi nikampa mimba na jamaa ananilelea mtoto.

Wanawake ni viumbe wavumilivu sana, ikifikia hatua ameamua kugawa uchi ujue kavumilia sana. Kesi nyingi za wake za watu kuliwa hua zinasababishwa na wanaume.

Kuna mwingine nilikua nakula mke wake kwa sababu alikua hamhudumii chochote mke wake, hajali chochote basi nikawa najipigia navyojisikia. Jamaa hata kumla mke wake alikua anamaliza hata miezi 6 na akisafiri ndio hapigi simu wala meseji.

Wanaume tujirekebishe kwanza kabla ya kulalamika wanawake ama watu wanaowakula. Yule ni mtu mzima hajabakwa hivyo akiliwa katoa ridhaa mwenyewe, usitafte ubaya kwa mwanaume mwingine anza na mkeo.
Kwahiyo ni bingwa wa kula wake za watu sio?
 
Back
Top Bottom