Nyie wadada mtaniua kwa presha

Nyie wadada mtaniua kwa presha

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,291
Reaction score
6,693
Duniani kuna vituko.........
Ninyi warembo Ninyi.........
mmmmmmmmmmmmmmm
mmmmmmmmmmmmmmm!!!!!!!!
Yaani tumetoka Tarakea,tumefika KIA
( KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT)
DEREVA akashusha watu na wengine
wakapanda..Tukaanza tena safari,tukatembea
kama mita 700 hivi mrembo mmoja akaonesha
ishara ya kusimamisha gari.DEREVA alikua anamjua
akamwita kwa jina lake Grace twende...Grace
akawa amesimama tu...
DEREVA akaendelea kumuita,Grace twende.....
Grace akaanza kuja, DEREVA akarudisha gari rivers
( kinyumenyume) kumsogezea Gari Grace....
Umbea kama kwetu mbeya,nikafungua dirisha
kumuangalia mrembo anayekuja......
Waooooooooooooooooooooooooo
Mrembo akawa anatembea tartibu kwa minato kana
kwamba anatembea juu ya kinyesi kama si juu ya
MAJI ya ziwa Nyasa kule kyela....
Kuangalia mrembo alikua amevaa nguo fupi,mapaja
kama papai lililoiva nje nje.........
Nyuma nako hakunyimwa na Mungu...Alijazia mithiri
ya kichuguu....waooooooooooooooooooooooooo
Mbele pale napo si haba,alibeba kiasi
chake.....Naweza kufananisha na matikiti MAJI ......,
Infact mrembo alikua amependeza sana utafikiri
anajiandaa Kwenda mbinguni full minato...
Sura yake ya urembo,MAJI ya kunde,laini na ya
mviringo ya mrembo aliumbika bwana weeee...yaani
Nilihisi siku Hiyo Mungu wakati anamuumba ilikua
mchana.........so preety and .......
Macho yangu ya kimbea,yakatua kwenye mdomo
wa mrembo aliyekua bize na simu yake ya
gharama....Mdomo nao Daaaaaaaaaaaaaa
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasaaa......
HALMASHAURI yangu ya ubongo na manispaa ya
AKILI haraka sana ikaniambia piga picha,,
ooooooooooohhhhhh Nilikua nimechelewa
ameshakaribia mlangoni tayari kondakta
akamwambia ingia twende,
Akaingia mlangoni,kinda akamuonesha siti ya
kukaa,mrembo akaishangaaa siti ile kwa
kuachama.Hapo ameingia pua zetu zinaendelea
kufaidi marashi ya huyo Dada mrembo. Hata wenye
mafuta kama mimi nikaonja radha ya utamu wa
marashi ya dada...
Hapo Hapo akamsukuma kondakta akatoka nje
huku akionesha ishara ya kinyaa hivi au my ambaye
hajaridhishwa na siti au hadhi ya gari si level
yake............
Offkozz binafsi nilikwazika, kondakta na DEREVA
wanaona aibu,mabibi na vijana wengine na mababu
waliokuwemo wakastaajabu na kushangaaaa.............
Warembo jamaniiiiiiiiiiiiiiiii
 
kuna mmoja juzi nipo zangu misele barabara za mitaa ya uhuru hapa mwanza,mara kimvua hiki tukapozi pembezoni mwa duka la mhabeshi mmoja ,mvua ilivyo kata akaondoka mie nikawa bado nasikilizia manyunyu yaishe.mtoto kajaaliwa mkononi anas6 hiphone,ileanaondoka akatoa kitamba ajifute maji akawa amedondosha nokia tochi nikamwia dada umeangusha simu lakini hakuni jali wala hakugeuka,nika mwita tena wewedada ulie vaa sketi nyeusi ningoje nikupe simu yako ,hakusimama ikanilazimu nimkimbilie nikamsogea na kumvuta mkono ,ghafula aligeuka na kunizaba kofi la mashavuni natusi juu,.(mbwa koko wewe),
nikageuka nakurudi nilikotoka sijafika hata mita tatukanifuata ,kaka sorry nitolee laini simu ubaki nayo majina sija save kwenye gmail yangu,alikuwa ameshika na misimbazi mkononi,nikampa simu pasipo kuongea chochote nikaishia zangu hukuakiwa anataka namba yangu nika mnyima.
nashangaa leo asubuhi kaja hapa home na vinguo vingi vya mtoto wangu nikaondoka nikimwacha wanagonga stori na wife.
NIMEBAKI NAMSHANGAO KAPAJUAJE HOME
 
Mkuu porojo nyiiiiingi...!
wewe ungeweka picha yake tu maneno yote ya nini?
Halafu thread kama hii nisingeitegemea kwa mtu anayejiita pure mathematician
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom