Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Kuna usemi kuwa kama jirani yako ameacha maharage jikoni ukapita ukakuta yanakaukia, hutamsaidia kutia maji kidogo? Ujirani mwema....
ahahahha hii kali....lakini sio vibaya kuongezea maji chakula kisije kikaungua, ama ukaongezea kuni kidogo......:hippie::hippie::hippie:
Mtondogoo unamsaidia kuleta kiumbe dunianiMmmmmmh leo maji, kesho kuni, keshokutwa ukuni,mtondo...............
Kuna usemi kuwa kama jirani yako ameacha maharage jikoni ukapita ukakuta yanakaukia, hutamsaidia kutia maji kidogo? Ujirani mwema....
Mkuu vipi umeacha shemeji huku nini? Anaendaga buchani kunua nyama?Umetisha!
sio kijijini tu jamani!hata haya mauhamisho ya kila siku makazini mume yupo mbeya mke yupo dodoma......ujirani mwema muhimu siwezi kuruhusu jirani yangu aunguze maharage yake au mboga iwe mbichi kwa kukosa kuni wakati maji ninayo na kuni ninazo!
Hivi ukiacha mkeo huku kijijini ukakuta amesababisha kifo cha mzee wa miaka 60 utafanyaje? Kwa nini msikae na wake zenu huko mjini?
Mzee wa watu anaduka la nyama pale kijijini, mkeo huwa ananunua nusu kilo pale mara 2 kwa wiki. Mzee wa watu anamezea mate binti huyu yaani mkeo ulamwacha huku. Akija tu ooo mwali na hii nakuongezea ukanywe supu. Mara mazoea yanaanza mzee akaanza kumegewa kiaina kule green guest house. Kilichotustua siku moja ni kelele za mzee wa watu anaomba mkeo asiingate. Kuchunguza kumbe mkeo alikuwa amekamata mic anaimba na maic ya mzee wa watu. Kama sio watu kujaa saa hizi mzee wa watu angekuwa marehemu. Jamani chukueni wake zenu huku kijijini wakale koni za bakhresa huko mjini watatuulia wazee wetu!
Hilo ni gonjwa kwao mjomba .................. wanahitaji counseling .......... nasikia ukikaa na mkeo unaonekana mzembe hujui kutafutaSwadaktaaaaaaaaaaaa. Halafu kuna wakati unanisoma vizuri! Naam kaka hukohuko. Shemeji kala lambalamba ya mzee akapata kichaa kabisa!