Nyie muachao wake zenu huku vijijini! Shauri yenu!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Hivi ukiacha mkeo huku kijijini ukakuta amesababisha kifo cha mzee wa miaka 60 utafanyaje? Kwa nini msikae na wake zenu huko mjini?
Mzee wa watu anaduka la nyama pale kijijini, mkeo huwa ananunua nusu kilo pale mara 2 kwa wiki. Mzee wa watu anamezea mate binti huyu yaani mkeo ulamwacha huku. Akija tu ooo mwali na hii nakuongezea ukanywe supu. Mara mazoea yanaanza mzee akaanza kumegewa kiaina kule green guest house. Kilichotustua siku moja ni kelele za mzee wa watu anaomba mkeo asiingate. Kuchunguza kumbe mkeo alikuwa amekamata mic anaimba na maic ya mzee wa watu. Kama sio watu kujaa saa hizi mzee wa watu angekuwa marehemu. Jamani chukueni wake zenu huku kijijini wakale koni za bakhresa huko mjini watatuulia wazee wetu!
 
Kuna usemi kuwa kama jirani yako ameacha maharage jikoni ukapita ukakuta yanakaukia, hutamsaidia kutia maji kidogo? Ujirani mwema....
 
ahahahha hii kali....lakini sio vibaya kuongezea maji chakula kisije kikaungua, ama ukaongezea kuni kidogo......:hippie::hippie::hippie:
 
sio kijijini tu jamani!hata haya mauhamisho ya kila siku makazini mume yupo mbeya mke yupo dodoma......ujirani mwema muhimu siwezi kuruhusu jirani yangu aunguze maharage yake au mboga iwe mbichi kwa kukosa kuni wakati maji ninayo na kuni ninazo!
 
Tatizo sio kusaidiwa kuivisha maharage! Tatizo ni hawa wazee hawajazoea kuona hawa waimbaji wanavyokamata mic. Tangu azaliwe hajawahi kupata huduma ya bidhaa zile za Bakresa! Roho kuacha mwili ni rahisi sana!
 
Hapa unawazungumzuia hawa shemeji zangu wa nyanda za juu nini? :smile-big:
 
Swadaktaaaaaaaaaaaa. Halafu kuna wakati unanisoma vizuri! Naam kaka hukohuko. Shemeji kala lambalamba ya mzee akapata kichaa kabisa!
 
Hivi ukiacha mkeo huku kijijini ukakuta amesababisha kifo cha mzee wa miaka 60 utafanyaje? Kwa nini msikae na wake zenu huko mjini?
Mzee wa watu anaduka la nyama pale kijijini, mkeo huwa ananunua nusu kilo pale mara 2 kwa wiki. Mzee wa watu anamezea mate binti huyu yaani mkeo ulamwacha huku. Akija tu ooo mwali na hii nakuongezea ukanywe supu. Mara mazoea yanaanza mzee akaanza kumegewa kiaina kule green guest house. Kilichotustua siku moja ni kelele za mzee wa watu anaomba mkeo asiingate. Kuchunguza kumbe mkeo alikuwa amekamata mic anaimba na maic ya mzee wa watu. Kama sio watu kujaa saa hizi mzee wa watu angekuwa marehemu. Jamani chukueni wake zenu huku kijijini wakale koni za bakhresa huko mjini watatuulia wazee wetu!

eeka wewe kiswahili ulipata 100% nimeipenda hii
 
Swadaktaaaaaaaaaaaa. Halafu kuna wakati unanisoma vizuri! Naam kaka hukohuko. Shemeji kala lambalamba ya mzee akapata kichaa kabisa!
Hilo ni gonjwa kwao mjomba .................. wanahitaji counseling .......... nasikia ukikaa na mkeo unaonekana mzembe hujui kutafuta
au umekaliwa ...........sijui kama ni kweli kinadada wa MS msaada kwenye tutas :smile:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom