Nyie mnaochepuka mnatumia mbinu gani?

Nyie mnaochepuka mnatumia mbinu gani?

mwambie unakaa kwenu unaishi na wazazi sio heshima kuongea usiku
 
Nilipooa ndo niligundua kumbe nina nguvu za kiume kidogo
Mke wangu alikuwa ananipea mbususu kila siku na anataka nipige bao si chini ya tatu hata kama sitaki au nimechoka alikuwa ananilazimisha
Baada ya kuoa ndo nikaanza kukutana na mademu wazuri hatari afu wako open
Nikajaribu kuchepuka ila kwa mbinde sana nikaishia kucheza game mbovu mpaka aibu,goli mbili kuzipata nilihangaika mno,nikajiuliza maswali hv DeepPond anawezaje kumvuruga Mama J sebuleni,chumbani mpaka Bafuni ndani ya siku moja tu na halali kwa Mama J
Kosa kubwa ni kutaka kuridhisha kila mwanamke.
Muda mwingine ukiridhika mwenyewe inatoshaa!!
 
Hiyo ndo inanitokea hapa sasa Ila nimepiga block mchepuko maana nishaonja tunda,family is everything mchepuko nae ana mchepuko wake kwendraaa
 
Unaweza uka CROSS MULTIPLICATION Unaweza kuzidisha kwa njia ndefu ama njia fupi, au ukagawanya kwa 2 kila upande, ila napenda zaidi kutumia elimination badala ya substution, nikiona vipi napiga dy/dx hapo haigomi.
 
Wakuu tupeane mbinu maana jahazi linataka kuzama kwa sisi ambao hajutazoea kucheat!

Nakaa na mwanamke ile sogea tuishi sasa mtihani ni kwamba nimetokea kumtamani Mwanamke mwingine mzuri sana wakati namtongoza nimemwambia nipo single mtoto kanielewa sasa Penzi lipo hot!

Mtihani ni kwamba anataka awe ananipigia simu usiku na wakati nipo na bibie hapo ndio kimbembe! Nimeshatoa sababu za hapa na pale lakini soon naona kabisa naenda kuumbuka!

Nipeni mbinu za kudeal na hawa viumbe wote wawili sitaki kumpoteza hata mmoja

Huwezi danganya wanawake 2 at the same time, mmoja lazima ajue ukweli ili usilete shida.

But kwa nini usikae na huyo tu uliye naye au umwache? Ukipenda mwingine je? Utafanyaje? Huwezi wamaliza.
 
Devil work on progress 👿
Vikibuma ulete mrejesho
 
Mkuu Mimi binafsi kifurushi changu cha dhambi kinanitosha mwenyewe,sipaswi nikuunganishe kwenye huu mtandao,labda waje wengine kukushauri[emoji1]


Hata biblia imekataza kumfanya mtu awe mtenda dhambi..imeandikwa old wake amfanyae mtu kuwa mwovu,adhabu yake mtu ni Kali sn

Acha zinaa,japo umesema hutaki huo ushauri

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kitabu gani hicho na sura gani?
 
Waeleze ukweli wote, atakayesusa basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom