Nyie mnaochepuka mnatumia mbinu gani?

Nyie mnaochepuka mnatumia mbinu gani?

Yani hapo umekosea kabla ya kuanza, haukutakiwa kumdanganya kuwa uko single ungemwambia naishi na mtu ili anapokukubali awe anajua kabisa kuna mwenzie

Nilikuwa nahofia nikimwambia ukweli siwezi kumpata ni lazima angenitolea nje
 
Piga mimba wote wawili halafu tafuta namna wajuane then achana nao kwa muda uone yupi kweli anakupenda. Huyo anayekupenda pamoja na kifurushi chako cha mtoto ambatana naye na uache kuchepuka zaidi yake.
 
Pole sana mkuu kwa kuchelewa kurudi kwenye nature yako ukiwa kama wa kiume

Ona sasa unahangaika

Mimi kila siku sitaacha kusema kuwa na mwanamke mmoja ni ulemavu
 
Mkuu Mimi binafsi kifurushi changu cha dhambi kinanitosha mwenyewe,sipaswi nikuunganishe kwenye huu mtandao,labda waje wengine kukushauri[emoji1]


Hata biblia imekataza kumfanya mtu awe mtenda dhambi..imeandikwa old wake amfanyae mtu kuwa mwovu,adhabu yake mtu ni Kali sn

Acha zinaa,japo umesema hutaki huo ushauri

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Dah ule wimbo wa kond boy eti ngono ni dhambi, mihadarati ni dhambi, ila tukifa hatujui tunaenda wapi? Nadhani mchepuko siyo dhambi!
 
Piga mimba wote wawili halafu tafuta namna wajuane then achana nao kwa muda uone yupi kweli anakupenda. Huyo anayekupenda pamoja na kifurushi chako cha mtoto ambatana naye na uache kuchepuka zaidi yake.

Hapo kwenye mimba nitafikiria kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom