Mnyiramba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,207
- 3,300
Wakuu tupeane mbinu maana jahazi linataka kuzama kwa sisi ambao hajutazoea kucheat!
Nakaa na mwanamke ile sogea tuishi sasa mtihani ni kwamba nimetokea kumtamani Mwanamke mwingine mzuri sana wakati namtongoza nimemwambia nipo single mtoto kanielewa sasa Penzi lipo hot!
Mtihani ni kwamba anataka awe ananipigia simu usiku na wakati nipo na bibie hapo ndio kimbembe! Nimeshatoa sababu za hapa na pale lakini soon naona kabisa naenda kuumbuka!
Nipeni mbinu za kudeal na hawa viumbe wote wawili sitaki kumpoteza hata mmoja