Nyie kwenyu ni cityhall

Nyie kwenyu ni cityhall

Nadhani kwa uandishi huuu bashite hakupatiiii[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] na akikuelewa uni tag mkuu Mshanajr
 
Nadhani kwa uandishi huuu bashite hakupatiiii[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] na akikuelewa uni tag mkuu Mshanajr
Niombee mwanadome.. Siku hizi style yao unaambiwa chukua begi kuna kasemina mahali kenye kahela kazuri... Unajikoki na kibegi chako kumbe unaenda kukutana na chatu... Halafu wakishamalizana na wewe wanakutupa popote na kibegi chako... [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] utaishia kuambiwa ulijiteka kisha ukajinywesha madawa. Ya kulala[emoji23]
 
Mkuu, nimechemsha nimeshindwa kujua ni nini, naomba ufafanuzi hata kwa PM
Vyoo vya shimo huko Tibet kwa Dalai lama... Kwa kinyaki vinaitwa shitiholu [emoji90] (kwa sauti ya babu yangu)
 
Vyoo vya shimo huko Tibet kwa Dalai lama... Kwa kinyaki vinaitwa shitiholu [emoji90] (kwa sauti ya babu yangu)
Wewe jamaa kwa fasihi naanza kukuhisi kwamba Roma alikuletea mashairi ya Ule wimbo wake umsaidie kuupdate, anyway nishaanza kupata mwanga
 
Wewe jamaa kwa fasihi naanza kukuhisi kwamba Roma alikuletea mashairi ya Ule wimbo wake umsaidie kuupdate, anyway nishaanza kupata mwanga
[emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] naenda kwenye ufunguzi wa kibanda cha kibubu chattle.... Kijiji kina raha kile
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Babu yangu bwana....apumzike kwa amani... Neno la mtemi ni chungu lakini lina uhalisia.....
tapatalk_1519969548904.jpeg
tapatalk_1519379278372.jpeg
 
[emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] naenda kwenye ufunguzi wa kibanda cha kibubu chattle.... Kijiji kina raha kile
Aha ha haaaaa! Haya bhana ila sidhani kama hicho kibubu kitapata wateja maana sio kwa msuguano huu mkavu mkavu na kelele za mitambo
 
Back
Top Bottom