Tumekuwa kwenye socialist 23 yrs, lakini tumekuwa kwenye capitalism for 30+ yrs ,mbona hatujafaulu? tumejaribu hata kuuza viwanda vilivyojengwa katika awamu ya kwanza ili twende na kasi ya capitalism lakni bado tunasota, leo hii tumeambuliwa kuibiwa tu, wht does it mean? capitalism ni open up markets for well developed countries waje wafanye biashara zao katika nchi yako, wewe unabaki kuwa mtazamaji, maana hata kodi unayokusanya ni hafifi kutoka kwao ,wanajua bado hamko na elimu ya kutosha na sharia za kuwabana, ndo hayo yanatokea Acacia ,Barick, dangote kule anae anapiga, wachina nao wanakuja na kampuni zao wakiwa na wafanyakazi wake, wanaajiri 5% ya watanzania katika makampuni yao kama assistants hata kama wanaelimu nzuri, ni aina nyingine ya unyonyaji, serikali zetu zimebaki kama watazamaji tu, kwa ufupi bila kumung'unya kwa sasa Bara la Africa UTEGEMEZI umeongezeka zaidi.