Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 9,283
- 9,033
Najitahidi sana kutumia lugha nzuri (samahani kama nitakukwaza).Benki kuu ya marekani (federal reserve bank) inamilikiwa kwa hisa na watu mbalimbali,
Airforce one ni jina tu la kijeshi linayopewa ndege anayokuwemo raisi wa marekani kwahiyo hata akipanda panga boi yetu jeshi la marekani litaiita "airforce one" . Ndege inayotumiwa kama airforce one mara kwa mara kwa sasa ni Boeing VC-25, inafanana kwa kiasi na Boeing 747. kampuni ya boeing ilianzishwa na William Boeing mwaka 1919.
NASA, US ARMY, NAVY na vingine ilivyo orodhesha ni taasisi na majeshi kama TISS na JWTZ, hazifanyi biashara wala haziendeshwi kibiashara
Hufahamu unachozungumza na pia hujaelewa hata maswali niliyokuuliza.
Tuishie hapa kwa sababu hatutaelewana, itabidi tuanze upya na tutatoka nje ya mada.