Nyerere's legacy failed 100% (economically)

Tuna Imani na nyerere oyaa oyaa oyaaaa, nyerere kweli kwelii kweli kweli nyerereeee, hata kama hupendi, ziba macho na masikio.
Heheheeee. Upuuzi wa kuamini fikra za mwenyekiti ndio umetufikisha hapa tulipo. VENEZUELA wanashikilia zidumu fikra za mwalimu, wanalowea kwenye mfumuko wa bei kama zimbabwe
 
kwa wale wanaopinga philosophy ya mwl ni watoto wadogo ambao hawajitambui. kwani China na urusi ambao ni nchi tajiri duniani wao hawakuendesha uchumi wao kwa kutumia taasisi as serikali na wakafika walipo sasa?

watendaji ndio wanaoiangusha taasisi au nchi.

Nyerere alitimiza wajibu wake na sisi tutimize wetu. Tuache kulaumu laumu kama vile yeye ndio alikuwa akiyauwa mashirika ya uzalishaji mali wakati aliyaanzisha yeye na akatuachia tuyaendeshe tukashindwa.
 
Nani kakwambia simpendi nyerere?! huwezi kukana kweli kwasababu ya mapenzi. Ukweli utabaki kuwa ukweli. Kama kupanga foleni kusubiri duka la SUKITA au TRC lifunguliwe ilikuwa ni fahari inabidi upimwe akili.

Sawa lakini na makosa yake yote bado anakumbukwa kama kiongozi bora kuwahi tokea Afrika.
Kunywa sumu ufe.....
 
Umesema ukweli mtupu nyerere alitulositisha kama nchi mi sioni kitu cha kujivunia cha ajabu alichofanya
Nyerere legacy failed 100%.

1. Kuchagua sera za ujamaa lilikua kosa lake kwanza.

2. Kuchukua viwanda,Shule, taasisi Na kuzitaifisha lilikua kosa kubwa.

3. Kuanzishwa vijiji vya ujamaa kwa kuwakusanya watu kwa mkono Wa chuma was a great mistake. Watu walipoteza Mali, wengine kushindwa kucope Na mazingira mapya ya kulazimishwa.

4. Kuzuia mfumo Wa vyama vingi Na Uhuru Wa kukosolewa Na zikabaki zidimu fikra za mwenyekiti. Here we are.

5. Kutumia rasilimali za chi kukomboa mataifa mengine bila mkataba Wa kurefund izohela baada ya Uhuru. Check Mozambique Na South wanavotufanyia wamesahau tuliyowafanyia so bora tuwe kamarekan hatumii fedha zake ktk Vita bila return .

6. Kushindwa kuzuia rushwa serikalin Na katika mashirika. MTU anapewa umeneja Wa kiwanda au taasisi anaiba anafirisi kisha anahamishwa toka sehem moja kwenda nyingine. Ilipaswa afikishwe mahakaman Na afirisiwe. Hicho ndicho kimeigwa mpk Leo.

7. Alichangia kuendelea kwa katiba inayotuumiza hii Leo. Hakuamini nguvu ya upinzani, aliamin katika chama chake pekee. Ilifika anasema rais Bora atatoka CCM pekee why?

Tunapaswa kumpima MTU economically kujua alifaulu ama alifeli.

Uchumi Wa Tanzania upo chini sana kwasababu ya sera zetu tulizoamua kuingia bila referendum kujua km watu wanaafiki ama la.

Siamini kama kuna haja hiyo ya kucelebrate life ya Mwl. Katika context ya economy.
 
Kumbukeni nyerere alikuwa mwafrika na tabia za kiafrika mnazijua...failures ni sifa ya mtu mweusi. Tusilalamike sana.
Kwenye sera za uchumi alifeli tena sana tu na hata yeye mwishowe aligundua makosa yake, serikali haipaswi kufanya biashara inapaswa ku-regulate na ku support ukuaji wa biashara kisha ikusanye sehemu ya faida kama kodi. Pia serikali haiwezi kutoa huduma zote za kijamii kwa ubora ni lazima i support na kuruhusu sekta binafsi zinazotoa huduma kama afya, elimu na fedha (benki). Yeye alitaka vyote viendeshwe na serikali mwishowe viliishia kufa tu.
Huyu wa sasa nae ameanza kuingia kwenye ka mtego ka kutamani serikali i control kila kitu, sera za namna hiyo mwisho wake ni unajulikana kabla hata haujafika.
 
Kwenye sera za uchumi alifeli tena sana tu na hata yeye mwishowe aligundua makosa yake, serikali haipaswi kufanya biashara inapaswa ku-regulate na ku support ukuaji wa biashara kisha ikusanye sehemu ya faida kama kodi.

Pia serikali haiwezi kutoa huduma zote za kijamii kwa ubora ni lazima i support na kuruhusu sekta binafsi zinazotoa huduma kama afya, elimu na fedha (benki). Yeye alitaka vyote viendeshwe na serikali mwishowe viliishia kufa tu.

Huyu wa sasa nae ameanza kuingia kwenye ka mtego ka kutamani serikali i control kila kitu, sera za namna hiyo mwisho wake ni unajulikana kabla hata haujafika.

Nyerere hakufeli kwenye sera za uchumi. Alifeli kwenye Utekelezaji wa sera hizo. Sera za uchumi za Nyerere ndiyo sera za mataifa makubwa na yenye uchumi bora duniani. Kwa mfano, China, Norway, Germany ni nchi ambazo serikali inahodhi sehemu kubwa ya biashara.

Qatar, Saudi, Algeria, Iran zote hizi ni nchi ambazo serikali ina biashara kubwa sana na inachangia pato la taifa kwa asilimia kubwa.

Marekani, Urusi na Ufaransa zote hizi ni nchi ambazo serikali inafanya biashara kubwa na inayochangia katika mapato yao ya taifa.

Dhana ya kuwa serikali haifanyi biashara, ni dhana potofu ambayo watu wa dunia ya tatu wamefundishwa na kuidandia bila kuwa na uyakinifu.

Hakuna duniani nchi iliyoendelea bila mtaji wa serikali na baadae watu binafsi kunufaika.
 
kwa wale wanaopinga philosophy ya mwl ni watoto wadogo ambao hawajitambui. kwani China na urusi ambao ni nchi tajiri duniani wao hawakuendesha uchumi wao kwa kutumia taasisi as serikali na wakafika walipo sasa?

watendaji ndio wanaoiangusha taasisi au nchi.

Nyerere alitimiza wajibu wake na sisi tutimize wetu. Tuache kulaumu laumu kama vile yeye ndio alikuwa akiyauwa mashirika ya uzalishaji mali wakati aliyaanzisha yeye na akatuachia tuyaendeshe tukashindwa.

Kwa wengine lawama ndio sawia yao kwa mwalimu alitekeleza wajibu wake tusonge mbele. Tumesonga mbele ndio maana nchi iliamua kuachana ujamaa na kukumbatia uchumi huria.

China ukiangusha shirika unanyongwa huku kwetu unahamishwa. Ilianza wakati wa nyerere. Mbegu alizopanda ndio zilikuja kumea baadae.
 
Nyerere legacy failed 100%.

1. Kuchagua sera za ujamaa lilikua kosa lake kwanza.

2. Kuchukua viwanda,Shule, taasisi Na kuzitaifisha lilikua kosa kubwa.

3. Kuanzishwa vijiji vya ujamaa kwa kuwakusanya watu kwa mkono Wa chuma was a great mistake. Watu walipoteza Mali, wengine kushindwa kucope Na mazingira mapya ya kulazimishwa.

4. Kuzuia mfumo Wa vyama vingi Na Uhuru Wa kukosolewa Na zikabaki zidimu fikra za mwenyekiti. Here we are.

5. Kutumia rasilimali za chi kukomboa mataifa mengine bila mkataba Wa kurefund izohela baada ya Uhuru. Check Mozambique Na South wanavotufanyia wamesahau tuliyowafanyia so bora tuwe kamarekan hatumii fedha zake ktk Vita bila return .

6. Kushindwa kuzuia rushwa serikalin Na katika mashirika. MTU anapewa umeneja Wa kiwanda au taasisi anaiba anafirisi kisha anahamishwa toka sehem moja kwenda nyingine. Ilipaswa afikishwe mahakaman Na afirisiwe. Hicho ndicho kimeigwa mpk Leo.

7. Alichangia kuendelea kwa katiba inayotuumiza hii Leo. Hakuamini nguvu ya upinzani, aliamin katika chama chake pekee. Ilifika anasema rais Bora atatoka CCM pekee why?

Tunapaswa kumpima MTU economically kujua alifaulu ama alifeli.

Uchumi Wa Tanzania upo chini sana kwasababu ya sera zetu tulizoamua kuingia bila referendum kujua km watu wanaafiki ama la.

Siamini kama kuna haja hiyo ya kucelebrate life ya Mwl. Katika context ya economy.

Nenda kawaulize huko Rwanda mnapopasifia kama mtu anaamua kuishi anapotaka.

Vijiji vya ujamaa vilikuwa na lengo la kuwakusanya watu sehemu moja ili kuwezesha serikali kuwahudumia vizuri na kwa gharama nafuu. Kingibe ni security ya Nchi. Kuna wakati mnadhani mnafahamu kila kitu kumbe ni hamna kitu.

Kama kila mtu ataamua kuishi atakapo maana yake atataka shule na hospital nk. Mna hela za kuwahudumia. Hii ilifail kwa sababu ya uvivu wa babu zenu kama si baba zenu na si Nyerere.

Mliamua kumzunguka mkisaidiwa na wazungu wenu but he was right na tunhekuwa mbali sana.
 
Kwa kifupi ujamaa ndo umezitoa nchi nyingi duniani kutoka katika wimbi la umasikini, sera za ujamaa ndo sera pekee ambazo zimeitoa Germany, France, China, Rusia, na mataifa mengine. Mwanzilishi wa socialism sio china, china alichukua hiyo kitu kutoka Rusia, ndo ulikuwa mfumo kwa nchi zote za Europe, source kubwa ya socialism ni kina Karl Marx( huyu ni mjeruman) ikaenea hadi ufaransa,rusia na kuingia China baadae Africa.

Hizi sera za capitalism za kuandaa mazingira kwa ajiri ya wawekezaji tu halafu serikali inakaa juu kukusanya kodi itachukua muda sana sisi kuendelea, ni lazima tukubali kuwa pamoja na wawekezaji lazima serikali ifanye biashara, ianzishe viwanda vyake kwa ajiri ya wananchi wake, kwa sasa hivi hizi sera za capitalism tutaishia kuwa Manamba katika nchi zetu,

maana sasa hivi ndo kabisa tumekuwa Tegemezi kuliko hata kipindi cha ujamaa, tunakaa kusubiri wawekezaji waje tuajiriwe, tena kwa ujira mdogo kisa tu tunataka eti tuonekane sisi nasi tuko kwenye capitalism, maendeleo au uchumi una taratibu, Taratibu alizoanza nazo Nyerere zilikuwa sahihi 100%.
 
Nyerere hakufeli kwenye sera za uchumi. Alifeli kwenye Utekelezaji wa sera hizo. Sera za uchumi za Nyerere ndiyo sera za mataifa makubwa na yenye uchumi bora duniani. Kwa mfano, China, Norway, Germany ni nchi ambazo serikali inahodhi sehemu kubwa ya biashara.
Qatar, Saudi, Algeria, Iran zote hizi ni nchi ambazo serikali ina biashara kubwa sana na inachangia pato la taifa kwa asilimia kubwa.
Marekani, Urusi na Ufaransa zote hizi ni nchi ambazo serikali inafanya biashara kubwa na inayochangia katika mapato yao ya taifa.
Dhana ya kuwa serikali haifanyi biashara, ni dhana potofu ambayo watu wa dunia ya tatu wamefundishwa na kuidandia bila kuwa na uyakinifu.
Hakuna duniani nchi iliyoendelea bila mtaji wa serikali na baadae watu binafsi kunufaika.

Hoja yako haina ukweli wowote, mfano mdogo ni Marekani benki kuu ya marekani haimilikiwi na serikali na maamuzi yake hayahitaji idhini ya raisi, jeshi la marekani linatoa tenda za utengenezaji wa vifaa vyake na teknilogia kwa makampuni binafsi, kwamfano magari ya kivita ya jeshi (hamvee) yanatengenezwa na kampuni ya AM General ambayo ni kampuni binafsi. Ndege za kivita zinatengenezwa na kampuni ya boeing.

Hali iko hivyo kwa mataifa yote yaliyostawi kama uingereza, ujerumani, ufaransa, japan, australia n.k
Makampuni yao yanalipa kodi kubwa kutokana mapato makubwa, ndio maana ukisikia vikao vya mataifa makubwa mbali na ajenda usalama, ajenda inayofuata ni biashara (sio baina ya serikali bali makampuni ya nchi zao)
 
Nyerere legacy failed 100%.

1. Kuchagua sera za ujamaa lilikua kosa lake kwanza.

2. Kuchukua viwanda,Shule, taasisi Na kuzitaifisha lilikua kosa kubwa.

3. Kuanzishwa vijiji vya ujamaa kwa kuwakusanya watu kwa mkono Wa chuma was a great mistake. Watu walipoteza Mali, wengine kushindwa kucope Na mazingira mapya ya kulazimishwa.

4. Kuzuia mfumo Wa vyama vingi Na Uhuru Wa kukosolewa Na zikabaki zidimu fikra za mwenyekiti. Here we are.

5. Kutumia rasilimali za chi kukomboa mataifa mengine bila mkataba Wa kurefund izohela baada ya Uhuru. Check Mozambique Na South wanavotufanyia wamesahau tuliyowafanyia so bora tuwe kamarekan hatumii fedha zake ktk Vita bila return .

6. Kushindwa kuzuia rushwa serikalin Na katika mashirika. MTU anapewa umeneja Wa kiwanda au taasisi anaiba anafirisi kisha anahamishwa toka sehem moja kwenda nyingine. Ilipaswa afikishwe mahakaman Na afirisiwe. Hicho ndicho kimeigwa mpk Leo.

7. Alichangia kuendelea kwa katiba inayotuumiza hii Leo. Hakuamini nguvu ya upinzani, aliamin katika chama chake pekee. Ilifika anasema rais Bora atatoka CCM pekee why?

Tunapaswa kumpima MTU economically kujua alifaulu ama alifeli.

Uchumi Wa Tanzania upo chini sana kwasababu ya sera zetu tulizoamua kuingia bila referendum kujua km watu wanaafiki ama la.

Siamini kama kuna haja hiyo ya kucelebrate life ya Mwl. Katika context ya economy.

na lipi alifanikiwa kwa 100%???
 
Hoja yako haina ukweli wowote, mfano mdogo ni Marekani benki kuu ya marekani haimilikiwi na serikali na maamuzi yake hayahitaji idhini ya raisi, jeshi la marekani linatoa tenda za utengenezaji wa vifaa vyake na teknilogia kwa makampuni binafsi, kwamfano magari ya kivita ya jeshi (hamvee) yanatengenezwa na kampuni ya AM General ambayo ni kampuni binafsi. Ndege za kivita zinatengenezwa na kampuni ya boeing.
Hali iko hivyo kwa mataifa yote yaliyostawi kama uingereza, ujerumani, ufaransa, japan, australia n.k
Makampuni yao yanalipa kodi kubwa kutokana mapato makubwa, ndio maana ukisikia vikao vya mataifa makubwa mbali na ajenda usalama, ajenda inayofuata ni biashara (sio baina ya serikali bali makampuni ya nchi zao)
Benki kuu ya Marekani inamilikiwa na nani?

Unapozungumzia technology, nani anaemiliki NASA? UARMY, NAVY, AIR FORCE?

Unaposikia serikali ya US imeiuzia Saudi Arabia F-16s unadhani ni Boeing ndiyo wameuza?

Tuanzie hapo kwanza.
 
Hivi ilikuwaje Siasa za Ujamaa ziliwekwa katika nchi bila Kupata maoni ya Watanzania?. Je hayo hayakuwa mawazo ya Nyerere zaidi kuliko kuwa ni ya wananchi?
Kwa sababu kila nikisoma vitabu vya Azimio la Arusha sijaona mahali popote umma ukishirikishwa kupata input yake ya aina ya uchumi inaoutaka, kama ni uchumi wa kijamaa, kibepari au chochote kile!.

Unaweza kusema labda chaguzi kuu zilizofuata ziliipa TANU uhalali wa kufuata siasa za Ujamaa, lakini Wananchi walikuwa na chama kimoja tu na mgombea mmoja kila uchaguzi kwa hiyo hawakuwa na mbadala sahihi!, utake usitake lazima mtawala angetokea TANU!!! .yaani TANU was an alternative of itself!!
 
Benki kuu ya Marekani inamilikiwa na nani?

Unapozungumzia technology, nani anaemiliki NASA? UARMY, NAVY, AIR FORCE?

Unaposikia serikali ya US imeiuzia Saudi Arabia F-16s unadhani ni Boeing ndiyo wameuza?

Tuanzie hapo kwanza.

Benki kuu ya marekani (federal reserve bank) inamilikiwa kwa hisa na watu mbalimbali,
Airforce one ni jina tu la kijeshi linayopewa ndege anayokuwemo raisi wa marekani kwahiyo hata akipanda panga boi yetu jeshi la marekani litaiita "airforce one" .

Ndege inayotumiwa kama airforce one mara kwa mara kwa sasa ni Boeing VC-25, inafanana kwa kiasi na Boeing 747. kampuni ya boeing ilianzishwa na William Boeing mwaka 1919.

NASA, US ARMY, NAVY na vingine ilivyo orodhesha ni taasisi na majeshi kama TISS na JWTZ, hazifanyi biashara wala haziendeshwi kibiashara
 
Julius K Nyerere alivaa viatu vikubwa vinavyopwaya,kwenda China mara mmoja akabadirisha hadi suti,as if ujamaa ni mavazi na sio vitendo.

Professor Babu alimwonya sana kwamba alioyaona huku ni propaganda za kikomisti si chochote au lolote.Babu aliyajua hayo sababu ya kuishi na kusoma falsafa ya Max katika nchi za Kijamaa.

Ukiangalia viongozi lika lake waliosoma Uingereza na wakarudi kuwa viongozi kama Dr Mohamed wa Malaysia,Bw Lee wa Singapore,Indira Gandhi wa India walifanya mapinduzi makubwa kiuchumi ,India ilifaulu green revolution mapinduzi ya kilimo.

Lakini Nyerere aligeuka omba omba hakusogea kiuchumi hata kilimo ilikuwa ni njaa tu.

Yapo mambo Nyerere aliofaulu kama watu kuheshimiana,rushwa kubwa ilikuwa ni nadra,ungepata ajira kwenye taasisi za umma bila kujuana na mtu.
 
Wa kuhama nchi ni yule ambaye hata watu watoe mawazo yao. Huyo ahame dunia maana watu wanatoa mawazo yao tangu dunia imeumbwa na hawataacha kwa namna yoyote.
Unaendelea kuonyesha tu jinsi ulivyo poyoyo wa fikra.
 
Back
Top Bottom