Nani kapiga dochi?
Ha hahaa you guys mmenikumbusha mbali mno
dochi lilikuwa linaharibu mpira ule wa makaratasi ya nailoni...
ukipiga dochi unasababisha lawama tele....na kama ni gozi
watu wanacheka hadi basi utasikia duh...bonge la dochi..lol
aliposema kiongozi safi ni lazima atoke CCM si unaona sasa chama kinachoamini kuchukua nchi CHADEMA hadi muda huu hakuna mtu wa uhakika wa kusimama uchaguzi ujao . na kama ulivyosikia wamemwomba ndugu SAMUEL SITTA ajiunge nao CHADEMA na agombee nafasi ya URAISI .na baadae unasikia kiongozi wao aliyekuwa anaaminiwa eti anatoa madai kwenye YOUTUBE. hivi kiongozi mgombea uraisi unahutubia tuhuma kwenye YOUTUBE . sasa hapo ndio utakapogundua hakuna kiongozi kwenye upinzani wote ni wababaishaji tu waganga njaa. NYERERE HAPO HAKUKOSEA
Boss ushawahi kufuma mipira wewe?
Unajaza minailoni kibao halafu katikati ukiweka sponji lazima mpira wako udunde kama gozi.
Mie nilikuwa specialist hapo
na kuna mbinu ya kutengeza mpira unaodunda kabisa
unaijua?
Naijua...
Unachukua tyubu ya tairi ya baskeli halafu unalikata kwa kipande ambacho si kirefu sana.
Unafunga na kamba upande mmoja. Unajaza upepo hadi inakuwa ya mviringo viringo.
Unafunga kamba na upande wa pili ili upepo usitoke.
Ukishamaliza ndo unaanza sasa. Halafu kuna zile kamba (acha zile za katani)....tulikuwa tunaziita nyuzi....unazjijua?
Basi hizo ndo unafumia sasa. Halafu watu tulikuwa tunafuma kwa patterns kali sana lol
Dawa ya mtu mwenye malalamiko yasiyo msingi ni ndogo tu. Mpe hizo data anazotaka halafu tuone atazifanyia nini.
Inawezekana serikali imepima ikaona ni sumu tayari ila naona wewe unataka hadi waonje kabisa ndio wajue kama ina madhara.
Kwani kuna makabila mangapi nchini?
Sijui. Lakini tukihesabu tutajua kila kabila lina watu wangapi.
Nyerere namuelewa vizuri mno
ukitaka hebu tafuta kwanza hotuba yake ya kwanza bungeni baada ya uhuru
alisema kuwa kuna migawanyo ya kidini kielimu iliosababishwa na wakoloni
serikali yake itafanya kazi kuirekebisha
sasa miaka miingi baadae mwandishi wa Uingereza akasema Nyerere anawapendelea Wakatoliki...
mind you sio mimi ninaesema haya....ni mwandishi wa Uingereza....
na Nyerere jibu lake lilikuwa hilo kuwa hajui hata dini za mawaziri wake...
Point hapa ni kuwa kama alisema wakoloni walisababisha mgawanyo kidini...
alijuaje? unarekebishaje? unajuaje kuwa unachokifanya kinarekebishika?
unahitaji source sio?takwimu sio?
sasa utasemaje hujui?
Mbona hamkusema kama mnataka na makabila yahesabiwe?
Unataka tuseme? Kuna ugumu gani kusema? Kila kitu kina mwanzo wake. Ujambazi n.k. unaanza na udokozi. Udokozi usipodhibitiwa unaingia wizi ambao pia usipodhibitiwa huleta ujambazi-wizi wa mchana mchana, kama kiinamacho vile.
Naijua...
Unachukua tyubu ya tairi ya baskeli halafu unalikata kwa kipande ambacho si kirefu sana.
Unafunga na kamba upande mmoja. Unajaza upepo hadi inakuwa ya mviringo viringo.
Unafunga kamba na upande wa pili ili upepo usitoke.
Ukishamaliza ndo unaanza sasa. Halafu kuna zile kamba (acha zile za katani)....tulikuwa tunaziita nyuzi....unazjijua?
Basi hizo ndo unafumia sasa. Halafu watu tulikuwa tunafuma kwa patterns kali sana lol