Mkuu way back miaka hiyoooo dah Dom I will be back to live there, mkuu hapo serikali imesha jitahidi kidogo mana nasikia wale machinga washa HAMISHWA zamani kila jioni hapakaliki mara Moshi wa mishikaki mara nini sijui Yani fujo tupu ila siku hizi Pako poa sana mkuu, ni kweli kuhusu kutengewa budjet wafanye hivo bado hapalizishi kivile
Deal of million dollars kwishaaaaaa