Kwanza kabisa population dynamics zinaifanya hiyo 60,000 kuwa less than 46,000.Hili la baba wa taifa tuachane nao wanopinga wakameze wembe... turudi kwenye mada yetu.Kipande hiki nimekipenda sana na hakika nitachangia kwa wale wasiojua mahesabu ili wapate kujua kama kweli tulishindwa ama kulichangiwa sababu nyingine kabisa..
Nitawapa mfano mdogo sana:-
- Kuanzia mwaka 1972 hadi 1982, Tanzania tulikuwa na mashamba ya Kahawa Hectares 126,000 zikizalisha kahawa wastani wa tani 46,000kila mwaka - yields about 390 kilo per hectare...
- Na sasa hivi tuna hectares za kilimo cha kahawa zaidi ya 300,000 tunazalisha kahawa kwa wastani watani 60,000 kwa mwaka -yields ni about 320 per hectare...
Sasa waungwana kweli unaweza kusema leo hii tumeendelea kwa sababu tu leo hii Kahawa imepanda bei wakati uzalishaji ndio kama mnavyoona hapo juu.
Hivi kweli mama mpika vitumbua alokuwa akiuza vitumbua 1,000 kwa siku mwaka jana kwa bei ya Tsh 500 ana nafuu zaidi mwaka huu kwa sababu anauza vitumbua 600 kwa bei ya Tsh 1000? kwa sababu tu watu wanatazama pato la kutoka laki tano kwenda laki 7 bila kuzingatia matumizi na kupoteza wateja 300!...
Naomba wasomi wa uchumi mnielimishe..
Thank you umefunga mjadala kwa facts na sii kuhesabu madafu..
Na foleni za chakula wakati wa Nyerere mbona huzisemi?
Kabla ya hapo mbona husemi? 1961 - 1967 alivyopewa madaraka na alipotaifisha? na 1985 alipoondoka.
Mkuu, kama nilivyokwambia awali ...... Ni ubaguzi wa kidini ndiyo unaozungumziwa hapo!, watu waliozaliwa Bara (i.e other than Dar) au wageni wa mji hawana nafsi mbele ya vigagu kama hivyo.Hivi hoja yako kimsingi ni nini, uongozi kiuchumi chini ya Mwalimu Vis-a-Vis Kiongozi Unayempenda Wewe OR Uchumi chini ya Ujamaa vis-a-vis Free Market?
1961-1966 - Free Market (miaka 5); [Nyerere]
1967-1985 - Command/Planned Economy (miaka 18); [Nyerere]
1986 - 2011 - Free Market (Miaka 25); [Mwinyi, Mkapa, Kikwete]
Miaka 30 chini ya Soko huru Vs Miaka 18 chini ya Ujamaa.
Unaweza kuwa muwazi kidogo nini haswa unalenga?
Mchambuzi unajua watu wenye chuki hata ufanye nini hawatakuelewa kwasababu chuki ndio inaongoza hisia zao na imeziba nafasi zote za uelewa.Hivi hoja yako kimsingi ni nini, uongozi kiuchumi chini ya Mwalimu Vis-a-Vis Kiongozi Unayempenda Wewe OR Uchumi chini ya Ujamaa vis-a-vis Free Market?
1961-1966 - Free Market (miaka 5); [Nyerere]
1967-1985 - Command/Planned Economy (miaka 18); [Nyerere]
1986 - 2011 - Free Market (Miaka 25); [Mwinyi, Mkapa, Kikwete]
Miaka 30 chini ya Soko huru Vs Miaka 18 chini ya Ujamaa.
Unaweza kuwa muwazi kidogo nini haswa unalenga?
Hivi hoja yako kimsingi ni nini, uongozi kiuchumi chini ya Mwalimu Vis-a-Vis Kiongozi Unayempenda Wewe OR Uchumi chini ya Ujamaa vis-a-vis Free Market?
1961-1966 - Free Market (miaka 5); [Nyerere]
1967-1985 - Command/Planned Economy (miaka 18); [Nyerere]
1986 - 2011 - Free Market (Miaka 25); [Mwinyi, Mkapa, Kikwete]
Miaka 30 chini ya Soko huru Vs Miaka 18 chini ya Ujamaa.
Unaweza kuwa muwazi kidogo nini haswa unalenga?
Hivi unafahamu hata wakati wa Great Depression in most advanced economies like the US kulikuwa na foleni pia za chakula? Haina maana kwamba tatizo hili Tanzania was justifiable on such grounds, lakini ni muhimu uelewe how the business cycle works.
Mchambuzi unajua watu wenye chuki hata ufanye nini hawatakuelewa kwasababu chuki ndio inaongoza hisia zao na imeziba nafasi zote za uelewa.
Watu wakiongelea Nyerere hata siku moja hawaelezi alichukua nchi katika hali gani kiuchumi, alikabiliwa na changamoto gani, alizikabili changamoto vip, aliwekeza vipi na nini, alipoondoka aliacha nini n.k.
Ninashangaa kuna mtu alisema Nyerere alivamia uganda kwa kutuma askari waende wakabake waganda mwaka 1978. Masikini mtu huyu amesimuliwa bila kutafuta ukweli wa ugomvi kati ya Tanzania na Uganda. Amini aliwahi kuishambulia Tanzania miaka kabla ya hapo na alipiga mabomu Mwanza na Kagera. Kati ya watu waliosuluhisha mgogoro ule alikuwa marehemu Haile Sellasi na kwa msaada wa kidiplomasia wa Somalia. Vita vya Kagera ilikuwa beyond tolerance na Nyerere alijua outcome yake lakini alisimama kuilinda nchi.
Mtu anasema Nyerere aliacha foleni blia kujiuliza foleni ilianza lini na kwanini.
Yupo anayesema Nyerere aliacha mashimo na mahandaki, tukiuliza kati ya Mwinyi, Mkapa na Kikwete nani amejenga bara bara kwa kuvunja majabali hatupewi jibu. Watu wameelekeza vichwa vyao katika lami utadhani lami inaweza kutandikwa porini au juu ya majabali.
Wapo wanaosema hakuacha miundo mbinu, hao hawajiulizi reli ya Mnyuzi-Ruvu au Tazara zimejengwa na nani. Mwinyi, Mkapa na Kikwete wamjenga reli yenye urefu gani inayolingana na ile ya Mnyuzi(Korogwe) hadi Ruvu. None!
Nyerere ameacha mashiirika zaidi ya 400 yakitoa huduma na ajira. Kikwete anakwenda Kampala kulalamika kuwa vijana wasipopata ajira ni hatari. Ni hatari kweli, lakini hajiulizi ajira zipi na kwa mazingira yapi aliyoyaandaa.
Labda kwa ufupi niseme kuwa Nyerere ndiye Rais peke yake aliyewekeza katika nchi hii kuliko marais wote watatu kwa pamoja. Hakuna kiongozi anayejenga bara bara wote wanaweka lami. Hakuna kiongozi anayewekeza katika elimu kwasababu wao ni zao la uwekezaji wa Nyerere. Hakuna kiongozi aliyewekeza katika miundoo mbinu, afya kama Nyerere.
Kama yupo au wapo, naomba mtu anieleze ni kitu gani kinafanyika nchini sasa hivi ambacho si uwekezaji wa Nyerere.
Nielezwe kiongozi gani amefanya kitu ambacho Nyerere hakuthubutu kukifanya katika uongozi wake tangu uhuru
Nielezwa katika nchi za EAC ni ipi inayoweza kusimama na kusema ni tofauti na Tanzania katika hali za watu wake.
Unajua haya ndiyo nasema kila siku, kama hujafanya uchunguzi au kusoma au kuuliza basi usiandike kitu.Hivi wewe ungeweza kuandika hapa kama Nyerere angekuwepo? Ubishi wa Simba na Yanga ushapitwa na wakati.
Kabla ya mjadala huu na mingine iliyotangulia na inayoendelea kuibuka juu ya Mwalimu sikuwa nafahamu kwamba Mzee huyu bado yumo mioyoni na akilini mwa watu kwa kiwango hiki. Hatutakuwa na Nyerere mwingine nchi hii miaka mingi ijayo.
public holidays act.
Nyerere day, pia ipo kwenye employent ordinance na bank of tanzania act.... Bank days huwa zipo internationally recognized. Nyerere day is internationally and nationally recognized by law.
So his legacy as the father of the nation is legally recognized by those acts.
hapo sasa.....kwa hiyo hata Baba faizah ni mkatoliki?
HTML:Mchambuzi unajua watu wenye chuki hata ufanye nini hawatakuelewa kwasababu chuki ndio inaongoza hisia zao na imeziba nafasi zote za uelewa.
Watu wakiongelea Nyerere hata siku moja hawaelezi alichukua nchi katika hali gani kiuchumi, alikabiliwa na changamoto gani, alizikabili changamoto vip, aliwekeza vipi na nini, alipoondoka aliacha nini n.k.
Ninashangaa kuna mtu alisema Nyerere alivamia uganda kwa kutuma askari waende wakabake waganda mwaka 1978. Masikini mtu huyu amesimuliwa bila kutafuta ukweli wa ugomvi kati ya Tanzania na Uganda. Amini aliwahi kuishambulia Tanzania miaka kabla ya hapo na alipiga mabomu Mwanza na Kagera. Kati ya watu waliosuluhisha mgogoro ule alikuwa marehemu Haile Sellasi na kwa msaada wa kidiplomasia wa Somalia. Vita vya Kagera ilikuwa beyond tolerance na Nyerere alijua outcome yake lakini alisimama kuilinda nchi.
Mtu anasema Nyerere aliacha foleni blia kujiuliza foleni ilianza lini na kwanini.
Yupo anayesema Nyerere aliacha mashimo na mahandaki, tukiuliza kati ya Mwinyi, Mkapa na Kikwete nani amejenga bara bara kwa kuvunja majabali hatupewi jibu. Watu wameelekeza vichwa vyao katika lami utadhani lami inaweza kutandikwa porini au juu ya majabali.
Wapo wanaosema hakuacha miundo mbinu, hao hawajiulizi reli ya Mnyuzi-Ruvu au Tazara zimejengwa na nani. Mwinyi, Mkapa na Kikwete wamjenga reli yenye urefu gani inayolingana na ile ya Mnyuzi(Korogwe) hadi Ruvu. None!
Nyerere ameacha mashiirika zaidi ya 400 yakitoa huduma na ajira. Kikwete anakwenda Kampala kulalamika kuwa vijana wasipopata ajira ni hatari. Ni hatari kweli, lakini hajiulizi ajira zipi na kwa mazingira yapi aliyoyaandaa.
Labda kwa ufupi niseme kuwa Nyerere ndiye Rais peke yake aliyewekeza katika nchi hii kuliko marais wote watatu kwa pamoja. Hakuna kiongozi anayejenga bara bara wote wanaweka lami. Hakuna kiongozi anayewekeza katika elimu kwasababu wao ni zao la uwekezaji wa Nyerere. Hakuna kiongozi aliyewekeza katika miundoo mbinu, afya kama Nyerere.
Kama yupo au wapo, naomba mtu anieleze ni kitu gani kinafanyika nchini sasa hivi ambacho si uwekezaji wa Nyerere.
Nielezwe kiongozi gani amefanya kitu ambacho Nyerere hakuthubutu kukifanya katika uongozi wake tangu uhuru
Nielezwa katika nchi za EAC ni ipi inayoweza kusimama na kusema ni tofauti na Tanzania katika hali za watu wake.
Bw, Mkubwa... Hakuna mtz aliyezaliwa kumchukia Nyerere, kama kukosolewa kwakwe ,kwako wewe ni sawa na chuki ,hiyo juu yako na kasumba zako. Nyerere anavuna alicho panda (lima). Wapo waliopoteza ndugu zao wakati wa Udikteta wake na kamwe hawatakaa kimya . Mnae muuabudu fanyeni hivyo kwa maslahi yenu binafsi.
Wewe Mchambuzi unapoteza muda wako bure kujibizana na huyo Taka shi... hao wanajulikana dunia nzima katika JF kuwa wapo kinyume na Nyerere kwa sababu alitetea wanyonge na kuwaadabisha wezi na waporaji wa wakati huo.Takashi, just out of curiosity, hayo madai ya nyerere na maisha ya watu, ni Nyerere Per Se meaning it was a direct order ya watu kuuwawa au ni kwa hoja kwamba mauaji yalitokea chini ya utawala wake? Ni mauaji gani hayo if you dont mind to share info?