Nyerere na Mkapa kutoka kuwa Jesuit hadi kuwa Marais wa nchi

Historia ya mtu humbeba sana katika mafanikio ya kufikia malengo yake

Suala la Nyerere na mkapa ni suala ambalo lipo wazi kabisa, wawili hawa walikua ni wakatoliki kindakindaki ambao mbali na kuwa ni wanasiasa, watanzania na wenye maono ya kuongoza nchi, lakini walikua ni wanachama wa chama wa Jesuits aka the society of jesus

Na walikua ni wanachama watiifu wa mfumo na walikula kiapo cha kutii mamlaka na kuendelea ajenda na fikra za misheni zao mfano nzuri tu Nyerere toka akiwa Tabora ndio alianza kufuata na kushawishiwa na Jesuits ili akubali kuiongoza Tanganyika kama kiongozi na jasusi wa Jesuit

Wakati wakoloni wakipanga kuiachia Tanganyika swali lilikua ni nani haswa anafaa kuachiwa nchi, maana ilionekana haifai kabisa kuikabidhi nchi kwa watu wasiofaa! Ambao ni wafuasi wa TANU kipindi hiko mwishowe ilibidi nyerere iwe ni kwa nafasi yoyote ile ahakikishe yeye ndo anakubaliwa

Kuna jambo ambalo wengi wanajiuliza kwamba ni kwanini Nyerere alikua mjamaa lakini hakuguswa na mabeberu maana wajamaa wenzake walishughulikiwa kweli kweli kila mahali duniani,hawakuachwa salama kabisa lakini yeye akaachwa?

Jibu ni kuwa nyerere alikua ni karata ya kimkakati, alikua ni chaguo la Vatican na kilichombeba zaidi alikua kachero na mwana-Jesuit ambaye alikua keshakula kiapo cha kutunza na kulilinda kanisa katoliki

Mkapa naye pia alikua Jesuit, kiongozi pekee mkatoliki ambaye hakua mfuasi na Jesuit hapa Tanzania ni Rais magufuli peke yake huyu hakua Jesuit lakini mkapa na Nyerere walikua Jesuits

Nitakuja kuendelea...
Huyo Mkapa hata kanisani hapo St. Immaculata Upanga alikuwa haonekani mpaka alivyopata urais.

Na baada ya Urais hakuonekana tena.

Sakramenti yake ilikuwa wiski za Uskochi.

Huu u Jesuit kaupata lini na wapi?
 
Kwani ni dhambi kuwa jesuit?? OK! Ameshirikiana na Vatican, UK, sijui Russia kuna ubaya gani kwani?? kwanza mjue Africans wote weusi/wabongo ktk ulingo wa kimataifa hamna cha kujivunia! mchango wenu ni nini hapa Duniani?

kila kitu mnapewa! viwangda vyote humo kwenu! majembe! mashine za kuwasagia ugali wenu huo wa muhogo zinatoka kwa hao weupe!! sasa leo mnaanza jasuti, jasuti!!! shukuru Nyerere kukupa elimu leo umewajua hao jasuti wako!!

watu wenyewe nyie vimeo mnasaidiwa mara mlitaka kumpindua mlishindwa!! sasa mnaleta za kuleta!! yaani nyie size yenu kupiga hivyo vichwa vyenu na nyundo sometimes nachelea kusema Jiwe ndo aliwaweza kabisaaa!
sasa bado mie nakwambia mtayamba kifukuto itunze hiii utaja nambia...
 
Back
Top Bottom