Nyerere na Mkapa kutoka kuwa Jesuit hadi kuwa Marais wa nchi

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Historia ya mtu humbeba sana katika mafanikio ya kufikia malengo yake

Suala la Nyerere na mkapa ni suala ambalo lipo wazi kabisa, wawili hawa walikua ni wakatoliki kindakindaki ambao mbali na kuwa ni wanasiasa, watanzania na wenye maono ya kuongoza nchi, lakini walikua ni wanachama wa chama wa Jesuits aka the society of jesus

Na walikua ni wanachama watiifu wa mfumo na walikula kiapo cha kutii mamlaka na kuendelea ajenda na fikra za misheni zao mfano nzuri tu Nyerere toka akiwa Tabora ndio alianza kufuata na kushawishiwa na Jesuits ili akubali kuiongoza Tanganyika kama kiongozi na jasusi wa Jesuit

Wakati wakoloni wakipanga kuiachia Tanganyika swali lilikua ni nani haswa anafaa kuachiwa nchi, maana ilionekana haifai kabisa kuikabidhi nchi kwa watu wasiofaa! Ambao ni wafuasi wa TANU kipindi hiko mwishowe ilibidi nyerere iwe ni kwa nafasi yoyote ile ahakikishe yeye ndo anakubaliwa

Kuna jambo ambalo wengi wanajiuliza kwamba ni kwanini Nyerere alikua mjamaa lakini hakuguswa na mabeberu maana wajamaa wenzake walishughulikiwa kweli kweli kila mahali duniani,hawakuachwa salama kabisa lakini yeye akaachwa?

Jibu ni kuwa nyerere alikua ni karata ya kimkakati, alikua ni chaguo la Vatican na kilichombeba zaidi alikua kachero na mwana-Jesuit ambaye alikua keshakula kiapo cha kutunza na kulilinda kanisa katoliki

Mkapa naye pia alikua Jesuit, kiongozi pekee mkatoliki ambaye hakua mfuasi na Jesuit hapa Tanzania ni Rais magufuli peke yake huyu hakua Jesuit lakini mkapa na Nyerere walikua Jesuits

Nitakuja kuendelea...
 
Mnama cjui we ni Mmachame wa wapi bgz namna hii. Unakuwaje
 
Je inatusaidiaje sisi kwa Tanzania ya leo?
 
Story zetu za kusogeza masaa kwenye vijiwe kahawa.
 
Hii imeletwa mahususi kuendeleza agenda za malalamiko ya Tanzania kutawaliwa kwa MFUMO KRISTO.
Udini umewazidi sana nyie watu.

Someni kwa juhudi, pigeni kazi kwa juhudi mambo yanaweza kuwa mazuri. Kulialia hakuleti maendeleo kwenye familia zenu.
 
Back
Top Bottom